Wasiwasi Mwabulambo toa ukatuni wako PB

kila kitu kina kupanda na kushuka ...hata vipindi vya radio/Tv huwa kuna wakati vinakuwa hooot, then vinadorora ...then waandaaji wakiwa wabunifu wanarudi kwenye charts .

tokea aondoke Masoud na Fina hakijawahi kupanda, hata Gerrard alikuwa akipendezea kipindi hicho na info zake
 




nakuona jinsi unavyompasha mwenzio.........

vidole juu hewani......mmmhhh!
 
Hivi ni lini posts za clouds zitaacha kuwekwa kwenye JF? Mi nshazichoka!
 

bado hajapata uzoefu yeye alikuwa kwenye jahazi akizoea ata mudu tu. Wasi wasi usiwe na wasi wasi mti wenye maembe kawaida hupigwa mawe ili kuyadondosha maembe.
 
Unamfagilia Hando kwa kipi cjui kabisa! Hvwajua kipindi cha pwr bfast cha Michuzi na Fina kilikuwa the best programme kwa kipindi kile? Kwanza 12 kamili washaanza kuongea. Akaja Hando na magazeti akawa anaboa. (unajua tena watu wanaotoka kwa M/kiti Mengi swaga zao) baada ya kuondoka kwao hata pale Clouds wanakiri haitatokea replacement yao tena! Ama kipindi cha watoto cha Michuzi,Bonda. At least Dina na segment zake anafunika mara kumi elfu kwa vipindi vya Clouds
 

Kweli kabisa mkuu, Clouds Fm ya 2000-2004 ndiyo ilikuwa Clouds ya ukweli. Huyu Hando alikuwa aningia kama msoma magazeti tu lakini eti leo anaongoza kipindi. Kipindi hicho hata Chuchuchu ya J'mosi ilikuwa hot sana
 
Kweli huyu dogo wasiwasi ajitahidi kuacha utoto au umbumbumbu wake....anashindwa kwenda na pace ya babra...kabisa ana mifano ya kitoto haswa....hadi naona aibu mimi msikilizaji maana anatokota sana huyu dogo....
 
Mtu mwenyewe anaitwa "WASIWASI" unatarajia nini??

Your name can tell who you are!!
 

akuuwa michuzi na fina ni kipanya na fina ila uyo hando anazingua sana
 
Michuzi????????? au unamzungumzia Masoud Kipanya!!
 
oooh! poor PB hakina mvuto tena, kimepoteza mashiko wanaokiendesha wote wamefail, masikini kipindi changu kilichobaki Clouds ni Sport extra...
 
Wamjaribu Efraimu Kibonde, ataziba pengo!

We naona unataka wenzio tupigwe kitu cha 'ban' ndio ufurahi...chondechonde...majina mengine wenzenu hata kuona yameandikwa mahali ni kidonda...
 
kama gerald hayupo sisikilizi tena hichho kipindi
 
Kweli kabisa mkuu, Clouds Fm ya 2000-2004 ndiyo ilikuwa Clouds ya ukweli. Huyu Hando alikuwa aningia kama msoma magazeti tu lakini eti leo anaongoza kipindi. Kipindi hicho hata Chuchuchu ya J'mosi ilikuwa hot sana
hata 2005-2008 pb ilikuwa sawa nakumbuka enzi zile za chenge na vijisenti,dah hadi raha sijui kwanini waliondoka,siku hizi hamna kitu bora bonge tu kidogo..jahazi pia kibonde alikuwa anasoma alasiri na dar leo kazi kwisha eti leo ndio wanaongoza vpindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…