WASIWASI: Ndugu wa mzazi mwenza wa mchumba wangu, mwanamuitaje mchumba wangu?

WASIWASI: Ndugu wa mzazi mwenza wa mchumba wangu, mwanamuitaje mchumba wangu?

Moronight walker

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2021
Posts
3,103
Reaction score
4,704
Nina rafiki yangu anatarajia kuoa single mother.

Ila anapata shida kuhusu Familia ya Jamaa aliyezaa nae.

Kule jamaa ana dada na Kaka pia, sasa ndugu zake hao watamuitaje mchumba wake.

Na wazazi wake jamaa watamuitaje mchumba wake.

Na yeye pia ana Dada na kaka.

Ushauri naamni jf wapo wazoefu wa haya mambo.
 
Maana anafikilia vipi dada zake wamuite wifi na huko kama watamuita wifi itakuwaje.
Au mama wa jamaa anamuita mkwe na mama yake amuite mkwe pia.
Jamaa anawaza sana hii msaada jamani.🤣🤣
 
Maana anafikilia vipi dada zake wamuite wifi na huko kama watamuita wifi itakuwaje.
Au mama wa jamaa anamuita mkwe na mama yake amuite mkwe pia.
Jamaa anawaza sana hii msaada jamani.[emoji1787][emoji1787]
Are you normal?
 
Back
Top Bottom