Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Mbona kinaelewaka mkuuHebu rudia kusoma ulichoandika huenda nawewe usielewe kama mimi.
Huenda nna kichwa kizito kuelewa. Bora ulivyo edit kidogo afadhaliMbona kinaelewaka mkuu
Haaa so huko watamuitaje kama kwao tuu.Huwezi badilisha ukweli hata siku moja.. Huyo mkeo atakuwa na mawifi, shemeji na wakwe wa pande mbili.
Umeona eeeHuenda nna kichwa kizito kuelewa. Bora ulivyo edit kidogo afadhali
Are you normal?Maana anafikilia vipi dada zake wamuite wifi na huko kama watamuita wifi itakuwaje.
Au mama wa jamaa anamuita mkwe na mama yake amuite mkwe pia.
Jamaa anawaza sana hii msaada jamani.[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaburi la marehemu umeoneshwa?
Cd ya msiba umeoneshwa?
Daftari la rambirambi umelipitia?
Cheti Cha kifo Toka RITA umekabidhiwa?