kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Baada ya Timu ya Yanga kukimbilia Uwanja Wa Amani Stadium Zanzibar, wasiwasi mkubwa umetanda kuwa hata Baada ya kufanya uamuzi huo Upo uwezekano mkubwa Uwanja huo Usijae..!
Yanga itajitupa uwanjani hapo siku ya tarehe 21/9/2024 kupapatuana na timu ngeni kabisa kutoka Ethiopia, timu ambayo haina historia yoyote kwenye michuano ya CAF barani Afrika. Tukumbuke uwanja huo ni mdogo ukilinganisha na Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam.
Wasiwasi huo umekuja baada ya kuona Kuwa mpaka muda huu Hakuna unywaji Wowote wa SUPU uliotangazwa na Uongozi.Ikumbukwe hii ni moja ya njia Za Uhamasishaji ambazo Zimekuwa Zikitumika kuvutia Mashabiki wa Yanga kuingia Uwanjani ambazo zimeonyesha Mafanikio.
Mashabiki wa Yanga huwa wanafahamika hujaza Uwanja pale tu aidha Wametangaziwa Kiingilio ni Bure au Kuna Supu..!
Yote kwa Yote...Mungu ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania.
Wana Yanga marekebisho yanahitajika hapa..! Nunua tiketi yako! Changia timu yako!