WasiWasi Watanda Juu ya Yanga Kushindwa Kuujaza Uwanja Wa Amani Zanzibar

WasiWasi Watanda Juu ya Yanga Kushindwa Kuujaza Uwanja Wa Amani Zanzibar

Yanga hashiriki mashindano kwa ajili ya kuujaza uwanja ila kushinda. Swali lingekua kulikua na ulazima gani hii gemu kupelekwa Zanzibar.
Jibu lingelikuwa wanatafuta wigo wa kuingiza kipato msije mkashangaa kuna siku yanga itaenda kucheza nchini Uganda kwaajili hiyo hiyo, ya kupanua wigo wa kipato na kuungwa mkono, hata kuimarisha udugu
 
Back
Top Bottom