Wasiwasi watanda, Tume ya Jaji Chande ikikamilisha ripoti yake

Ina semekana watu wengi wameuliwa majumbani.
Jee hawo walizikwa na nani?
Au waliwapeleka hospitali au motuari.
Na vipi waliuliwa majumbani kiholela au walilengwa yaani hawo wauwaji waliwafata kwa makusudi na kuwapiga.
 
Japo sitarajii lolote la maana ila acha tuone kifuatacho ITV!! Isidingo or Hapa na Pale!!
 
eti wasiwasi umetanda ila watu 😂😂🙃
 
Tume ya maelekezo hiyo, Kama una Serikali iliyojiweka madarakani kwa gharama za damu za watu never expect anything positive.
Mkuu wa nchi anayepokea maelekezo hadi kwa Makonda, kuna nchi hapo ama utopolo.
 
Tume yenyewe imeundwa na muuwaji, hata kama ni Mimi lazma nijiundie tume ya kunisafisha nani anataka afungwe, akuuuuuu
 
Tume ya maelekezo hiyo, Kama una Serikali iliyojiweka madarakani kwa gharama za damu za watu never expect anything positive.
Mkuu wa nchi anayepokea maelekezo hadi kwa Makonda, kuna nchi hapo ama utopolo.
alipokea maelekezo gani kutoka kwa makonda mkuu?
 
alipokea maelekezo gani kutoka kwa makonda mkuu?
Kwani hadi leo we hujui mamako anapolea maelekezo toka kwa Bashite namna ya kuongoza Tanganyika yetu.

Hivi Duniani kuna kiongozi alishaamuru kuua vijana wake zaidi ya 10,000 kisa tu mambo ya kisiasa ya uchaguzi? Kuna kiongozi hapo ama bakuli
 
Reactions: Lax

anapokeaje order kutoka kwa bashite mkuu? ana power gani bashite mzee wa kolomije?

suala la watu kuuwawa tusubiri tume kwanza
 
anapokeaje order kutoka kwa bashite mkuu? ana power gani bashite mzee wa kolomije?

suala la watu kuuwawa tusubiri tume kwanza
Sasa kama wewe ni mwana CCM kama mimi elewa ndani ya chama hakuna wa kumgusa.
Ulishaona Waziri yoyote anaacha kutumia gari la Serikali assigned ila anatumia la kwake bad enough anaweka na plate number ya kwake,
from which power? Kama si ujinga
Ndo anakuwa Rais wako 2030.
 
Sasa kama wewe ni mwana CCM kama mimi elewa ndani ya chama hakuna wa kumgusa.
Ulishaona Waziri yoyote anaacha kutumia gari la Serikali assigned ila anatumia la kwake bad enough anaweka plate number ya Serikali.
.from what power?
mi si mwanaccm mkuu, konda boy mjanja mjanja sana huyo
 
mi si mwanaccm mkuu, konda boy mjanja mjanja sana huyo
Nchi yoyote inaongozwa kwa Katiba na Sheria, ukiona hadi taahira anapenya hadi kutaka kuongoza nchi basi kuna tatizo kubwa katika Katiba na Sheria za hiyo nchi.
 
Reactions: Lax
Nchi yoyote inaongozwa kwa Katiba na Sheria, ukiona hadi taahira anapenya hadi kutaka kuongoza nchi basi kuna tatizo kubwa katika Katiba na Sheria za hiyo nchi.
naam hapo sasa cha kulaumiwa sana ni chama chako , konda boy toka akiwa RC ni mtu wa dili
 
Za ndani zinasema ripoti ya awali ameshapewa Maza na kaikataa maana imeibebesha mzigo serikali na sio chadema kama atakavyo yeye! Sasa wanaiweka ili I balance
 
Lakini huyo bwana mdogo amejishikilia kwenye "nguzo" gani imara kiasi hicho hadi kuwa juu ya mamlaka ya uteuzi?!!
 
Geneva, UN
Human Rights Council
February 26, 2026

Sudan | "The situation around El-Fasher exhibits clear hallmarks of genocide by the Rapid Support Forces," the Chair of the Independent International Fact-Finding Mission for the country, Mohamed Chande Othman, told the United Nations Human Rights Council...

View: https://m.youtube.com/shorts/1MbhjpRF0FE
 
Wasiwasi gani unaotanda kwa ajili ya hiyo Tume?
Kwamba kuna wauwaji watatajwa au kushitakiwa?
Kwamba sababu za vurugu huzijui na unategemea Tume ikupe sababu?

Vv
Kuna wasiwasi kusafisha mtu 1 kwa kuwapa kesi za uhaini wasio husika hasa viongozi wa dini wanaompinga mtu fulani....kuwaziba midomo .....viongozi wa CDM na baadhi wakuu vyombo kutolewa kafara tu.....tume batili.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…