Wasiyoyajua Waislamu wengi

Usiandike maneno mengi leta andiko linalotambua kuna kitabu kinaitwa Biblia kama hakuna andiko sema hakuna mbona rahisi tu braza?
Kwani kuna andiko linalotaja au kukitambua kitabu cha Qurani?
Hebu tuwekee hapa tulione blaza
 
Ndiyo maandiko yapo mengi yaliyotaja Quran mfano mmoja ni Surat Al Qamar aya ya 32 inasema

32. Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi kwa kukumbuka, lakini yupo akumbukaye?

Haya nitajie andiko linalotaja biblia
 
"Na tumefanya Quran iwe nyepesi" Hawa wanaosema hayo ni akina nani au Allah na majini yake?
 
Asante kwa elimu, kweli nimeamini shetani yupo kazini. Kazi kuwapalamia na kuwapapatikia watu tu utasikia Ayubu alikuwa muislam.

Wakati Ayubu, Ibrahim walikuwepo hata kabla ya muanzishaji uislamu Tapel Dr. Mudi hajazaliwa.
 
Ndiyo maandiko yapo mengi yaliyotaja Quran mfano mmoja ni Surat Al Qamar aya ya 32 inasema

32. Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi kwa kukumbuka, lakini yupo akumbukaye?
Nani aliandika haya maandiko??
 
Ndiyo maandiko yapo mengi yaliyotaja Quran mfano mmoja ni Surat Al Qamar aya ya 32 inasema

32. Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi kwa kukumbuka, lakini yupo akumbukaye?
Haya nitajie andiko linalotaja biblia
Hao akina sisi ndio nani ?
taunzie hapo.
au ndio hao walio mtuma mtume huku Mungu akishuhudia ?

مَّا أَصَابَكَ مِنْ حَسَنَةٍ فَمِنَ اللَّهِ ۖ وَمَا أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٍ فَمِن نَّفْسِكَ ۚ وَأَرْسَلْنَاكَ لِلنَّاسِ رَسُولًا ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا

[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako.

Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
 
Usihamishe mada leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
 
Tuandikie wewe kafiri gaidi mzee wa kuvaa mabomu si unajua?
Muislam hawezi kuwa kafiri Kama unabisha muulize Bibi yako kafiri ni nani uone kama atakwambia ni waislam.

Usihamishe mada leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
 
"Na tumefanya Quran iwe nyepesi" Hawa wanaosema hayo ni akina nani au Allah na majini yake?
Usihamishe mada leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
 
Haya saidiana nae kuleta andiko linalotambua kuna kitabu kinaitwa biblia
The word "Bible" originates from the Greek word "ta biblia" (τα βιβλία), meaning "the books," which in turn comes from the Greek word "biblion" (βίβλιον), meaning "book" or "scroll".
 
Hilo ni andiko kutoka kitabu gani?

Bado hujaleta andiko leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
 
Usihamishe mada leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
Sasa kama torati, zaburi na injiri ni vitabu ambavyo Quran Yako inavitambua na kutumia maandiko yake kuujenga huo uislam. Halafu unaibuka huko kijana kutoka Buza unasema andiko kuhusu biblia. Kijana unajua kwanza maana ya biblia?
 
Sijui maana ya biblia ndo maana nakwambia ni kitabu cha kitapeli Usihamishe mada leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu kinachoitwa biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…