Wasomali wameanza kutuiga mila zetu huko Puntland

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Tatizo la Wasomali wa Puntland wasichana wao ni Vimbaumbau hawana nyama ni makongoro tu hawawezi kufikia wanawake wa Ethiopia au East Afrika jionee mwenyewe

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Inatubidi kupeleka watu kwenda kuwafunda na kuwafundisha Mila na Desturi Zetu za Kibantu.
 
Waje huku kujifunza ili viuno viwe lainiii!!!
 
Tatizo la Wasomali wa Puntland wasichana wao ni Vimbaumbau hawana nyama ni makongoro tu hawawezi kufikia wanawake wa Ethiopia au East Afrika jionee mwenyewe

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Fujo tupu....
 
Fujo tupu....
man-chewing-khat-in-djibouti-city-djibouti-B451T0.jpg

Huyu Oriaa wa Puntland hajawahi kuliona Baikoko la Uzazi,Shahwa lazma ziruke kama jet
 
Tatizo la Wasomali wa Puntland wasichana wao ni Vimbaumbau hawana nyama ni makongoro tu hawawezi kufikia wanawake wa Ethiopia au East Afrika jionee mwenyewe

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hiyo SIYO shida. Tukiwaoa tunawazalisha, halafu wifi zao wanawapikia mtori. Baada ya miezi mitatu tu, utaona tako hiloo.
 
Hii wapi balaa tupu....mamama
Kuna siku flani tulishikw na wazimu baada ya kulewa tukapitia na mitaa ya ndani ndani bamburi mombasa tukapatana na harusi flani ya kiswahili tukaamua kuingia ndani, nakwambia vituko tulivyoona !!!!!!!! ha! Nakwambia kusmama hauwezi simama, kuketi haezi keti.......... Lakini ubaya wanawake na wanaume walikua wana hema/tent tofauti ukitaka kusongelea ni mpatane huko gizani....
yani nilichoona hata baada ya wiki ilikua bado nikifunga macho naona madera yakitingika
 
Hehehe hata Dar yapo tu sana.
 
Tanga noma, yaani napajua sana Tanga..
Uje utembelee Hali ya hewa ni kama MSA halafu vitu we wacha tu Kuna Baikoko Khaanga moko Teketeke Khanya imelowa maji
 
Hehehe hata Dar yapo tu sana.
Dar Tokea aingie huyu Mkuu wa Mkao imepoaa ni Kutumbuana na Misiba tu na Wazee wa kazi wakiona Kigodoro wanakuja na maCruiser yao na kutembeza Vipigo Dar imekwisha.
 
Kuna siku flani tulishikw na wazimu baada ya kulewa tukapitia na mitaa ya ndani ndani bamburi mombasa tukapatana na harusi flani ya kiswahili tukaamua kuingia ndani, nakwambia vituko tulivyoona !!!!!!!! ha! Nakwambia kusmama hauwezi simama, kuketi haezi keti.......... Lakini ubaya wanawake na wanaume walikua wana hema/tent tofauti ukitaka kusongelea ni mpatane huko gizani....
yani nilichoona hata baada ya wiki ilikua bado nikifunga macho naona madera yakitingika
Mombasa tosha kuna raha Wahenga walishasema Kuingia Rara Kutoka Karaha
 
Back
Top Bottom