Wasome Wanawake tu: Siri za unyago wa Kimakonde!

Zinduna nipo shost, si unajua tena mambo ya mkate yamenichukulia muda hasa ukizingatia ni J3, Nimeona ya kimakonde nikitulia ntakuletea ya kimanyema na kitusi ili kukazia.

Mimi nataka hiyo ya Kitusi.
 
kuna siku mwanamke wa kimakonde kidogo anitegue kiuno,ilibidi anifunge na khanga ili anipandishe na kunishusha kwa usalama.

Huna adabu Bishanga nakufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Mbona wanawake hawachangii huu uzi jamani,
Nitawaambia MODS wauondoe kama hamtaki kuchangia.....EBO! Cantalisia , Preta , King'asti , Kipipi Asnam TaiJike MwanajamiiOne , na wengineo mko wapiiii!

Nashukuru chipenzi kwa kuniitia mambo mazuri kama haya.........kuchelewa kwangu kusikutishe, j3 ya leo iko loaded vibaya!!

Tunaomba uendelee kutumegea matamu yanayojiri huko mafichoni, si unajua wengine sie vitu kama hivyo vilitupitia pembeni?? Sema mwaya tupate na vya kuuliza..lol!
 
halafu we zinduna,huko unyagoni ndiko ulifunzwa niniliyu kuifunika kwa laptop?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…