King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Mwalimu, mie nilikuwa nafanyia mazoezi yale masomo ya mwanzo, nimeshafaulu. Ngoja nichangankie hili..
Naona WALICHIPUTU (wanawali) wameingia mitini kumalizia hii kozi ya UNYAGO.....
Wako wapi AshaDii , RussianRoulette , King'asti , Smile , Cantalisia , Mamndenyi , Madame B , Kongosho , TaiJike , Asnam , MwanajamiiOne , FirstLady1 , Preta , Lizzy , Dena Amsi , na wengineo wanaojijuwa kuwa ni Wanahaku
Mweh jamani mko wapi mmalizie kozi nitoe vyeti na zawadi!