Wasome Wanawake tu: Siri za unyago wa Kimakonde!

Zinduna mimi sichangi hujanitaja momyyy............ utani

hapo umenena kweli shostito tena sitii neno manake nakumbuka ilivyokuwa siku nachezwa huko mahiwa kijijini, tulichanganywa wamakonge na wamwera mkoleni nilikula fimbo Mungu hapendi hadi leo sina hamu. but ni experience nzuri sana imenifanya kuwa jasiri na kujua nini miiko yetu....... tulipikiwa chikandanga. siku tulipomaliza sherehe za kunema akina mwali zilifana ile mbaya. sijui haya kwanini hayapotena.



 
Last edited by a moderator:
Erickb52...
Huyu Bishanga dawa yake Lizzy tu ndo wanawezana vizuri.........mi ngoja nimkwepe!
Hahahahaaa kweli aisee maana sisi kumuweza ni ngumu....
Hahahaaa ngoja niongee na Lizzy anisaidie kumlaza sebuleni teh tena bila hata shuka apigwe na hili libaridi ndio atanyooka
 
Last edited by a moderator:
Zinduna yasemekana kuwa nyumba za udongo za kimakonde ukiingia chumbani pembeni ya kitanda (sehemu ya ukutani) huwa lazima pawe na kishimo kwani hapo ndo mama huwa anaweka kigingi akiwa anazungusha size ya feni je pana ukweli?
 
Last edited by a moderator:
Ibrah, wewe subiri joto ya jiwe tu!

Zinduna, Leo ni siku ya pili, am as fit as a fiddle!
Ni vema unipe kabisa huo muda, ni siku, wiki, miezi au miaka mingapi?
 
Last edited by a moderator:
Zinduna nipo shost, si unajua tena mambo ya mkate yamenichukulia muda hasa ukizingatia ni J3, Nimeona ya kimakonde nikitulia ntakuletea ya kimanyema na kitusi ili kukazia.

Nasubiri hiyo ya Kimanyema na Kitusi ili nione unavyowagalaza Wadau.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhhhh! Najaribu kuvuta taswira ingekuwaje kama hii maneno ingekuwa inahusu lile kabila lileeeeeeeeee.......nadhani humu pasingekalika na mida hii tungekuwa tunaongelea 'ban' kama sio ya muongo mmoja basi ingekuwa ya karne.

Safi sana mdada, hii itawatoa watu tongotongo! Heeeeeeeee! KUmbe mi mwanaume, samahani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…