Wasome Wanawake tu: Siri za unyago wa Kimakonde!

Zinduna, huo mkwala wako ulioweka ya kwamba ni wanawake tu wasome, ni heri uuondoe tu. Wanawake uliotarajia wote wamelala kona na wengine wameenda MKOLENI. na pia mkwala kama huu utawapata Wamakonde tu, kama miye MLUGURU na mila za Kimakonde hunipati ng'oooo!!!!!!!!!

Toa ruhusa na sisi wenye majipu tuusome. Kwani mimi naandika tu hivi lakini WALA SIJAISOMA THREAD YAKO, INGAWA MAJIPU NINAYO..

Toa ruhusu mwali weeee upate maneno murua kabisa.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Zinduna
inawezekana wamakonde ndio pekee yao
waliobakia na mila nzuri za kuigwa,
je huko hakuna tabia ya kut ahiri kama
ilivyo kwa makabila mengine.

then nitarudi na kaswali kengine.

asante kwa kunitafuta.
 
Mafunzo hayo yanaweza yakawa mazuri lakini wafundishwaji wengi wao baadaya kwa bibi wanakuachia kwa kila mtu kuonja labda watafute mbinu nyingine ili wawe na uwezo wa kujisitiri na kusema HAPANA akiwa na maana HAPANA.
 

cheti ni kuchanjwa chale usoni,na zawadi ni ndonya mdomoni!walichiputu na wanahaku mko tayariiiiiiiii?

japo wanaume wamekatazwa mi sijaingia humu ndani mzima mzima!nimeingiza kichwa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…