Wasomi hasa wachumi hili si sahihi kabisa

Wasomi hasa wachumi hili si sahihi kabisa

mchlmmnl2

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
168
Reaction score
54
Ndugu zangu Watanzania mimi ni mmoja wa wanataaluma wa uchumi. Kuna kitu kimoja nchini kwetu naona hakipo sawa kabisa kuliko vingine kwenye uchumi wetu.
SUALA LA KUA NA CURRENCY MBILI
Namaanisha sifa kuu ya kuwa na mfumo mzuri wa mzunguko wa fedha nikua na aina moja ya fedha(SIMILARITY) lakini nchini kwetu kuna aina mbili za fedha zinatumika. SWALI mfano mgeni akija Tanzania akapewa mia tano mbili nikimaanisha ya zamani na ya sasa ipi atajua ndio fedha halali na ipi ni feki?
Kwaupande wangu naona kuna haja ya BOT kuundiwa TUME. Hili suala lichunguzwe kwa umakini kwani hakuna nchi duniani yenye fedha aina mbili kwenye mzunguko yaani ( WITHIN MONEY CIRCULATION).
Asanteni.
 
Back
Top Bottom