mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
Mm nikiwa kama mwanasheria nna umri wa miaka 33 sijaoa sina mtoto wala mpenzi hata. sishiriki ngono kwa namna yeyote ile.sitaki huo uchafu wa kipuuzi wa kuninajisi heshima. wasomi hatuna haja na mapenzi maana ni upumbavu tunahaja na hekima.kataa ndoa daima okoa kibunda.