mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
Kufanya ngono kunaongeza afya ya akiriMm nikiwa kama mwanasheria nna umri wa miaka 33 sijaoa sina mtoto wala mpenzi hata. sishiriki ngono kwa namna yeyote ile.sitaki huo uchafu wa kipuuzi wa kuninajisi heshima. wasomi hatuna haja na mapenzi maana ni upumbavu tunahaja na hekima.kataa ndoa daima okoa kibunda.
Kwa sasa una kiwango gani cha elimuMwaka ujao majaliwa naingia masomo ya juu niwe msomi zaidi.
Umeona sasa, mwanaume upende wanaume wenzako wakipendeza?JF VAR CHECK
Duh! Sisemi kitu mimJF VAR CHECK