Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
Karibu ila jina lako hilo?mmmmmh.....!!
Al-shabaab
Al-shabaab
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wana jamiiforum naomba ushirikiano wenu.!
wewe ni mpigamsuli au oil sumu
karibu sana,nakutahadharisha uwe makini wakati unacomment threads za watu
Karibu sana JF
Habari zenu wana jamiiforum naomba ushirikiano wenu.!
But pls ucjitoe mhangaa!!!
Tokea hii track ya TCU itoke,wanachama wengi "wasomi" mmeongezeka...Karibu,ila usisahau wale ambao hatuku attend almentary schools!
Wakaribishwa.....ID yako ni hatari sana..
teh teh teh! umembambaje!
amani kwa sana wa watu
Pengo lako limeonekana...karibu tena jukwaani
Siku kadhaa zilizopita tulikumiss niaje.