Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
- Thread starter
-
- #61
Haya sasa, hayawi hayawi.....tcu hoyeeee
thanks Eshy m.s comment again.!
mdadaa vp wametoa offical announcement nn?
karibu kaka..
ile ni Tanzania Commision for Universities na sio chama cha siasa unachotulopokea oyee
Mmmh! nilikumic! we acha 2
Mh mbona amekuja kistaarabu au ni fiksi.
utakuta jam!
teh teh teh! c anaogopa ban, ila we subiri sasa iv atacharuka!
jam tena?
Karibuni msosi jamani!
ebu ni PM chochote nione kama ulinimic kweli.!
me nimeingia jana tu halafu nipigwe ban leo c majanga sasa
kwan ulifanya nini mpaka ukapigwa ban ,tunaomba utuambie
me nimeingia jana tu halafu nipigwe ban leo c majanga sasa
hahahaaaaa! ila kweli my inabid uwe mpole kidogo! makeke unayaleta badae kidogo et eh!
ban ndo nini sababu ndo naisikia leo Allen