Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Hawajafunguka tu ufahamu...sasa hv wanavyuo wasifikirie kuajiriwa....Hii nchi inaenda kuwaka moto ni suala la muda tu, kuna machari wapo wanamalizia shule kwa sasa vichwa vyao siyo kabisa.
Mkuu ina maana wote waliojiajiri hawakusoma kwa kutumia hiyo mitaala, mitaala ni kama nyenzo tu kujiajiri ni uthubutu wa mtu, duniani kote hakuna nchi ambayo haina tatizo la ajira hata hao wenye mitaala unayofikiria wewe, kujiajiri siolazima ufuate kozi uliyosomea, huyo atakuwa sio msomi,msomi yeyote lazima atumia akili na maarifa yake kufikiria nje ya box, sababu naamini msomi ni msomi tu hata kama anashinda akivuta bangi , tatizo la wasomi wa Tanzania wanatakiwa waletewe kila kwetu kwenye hotpot mezani wao wapakue tu. Tanzania pana fursa nyingi sana sio lazima mtu akuajiri, kama wasomi mnaweza kuunda vikundi, mkaandika mpango biashara/kazi na mkapata mikopo au mkajichangisha vijisenti kidogo mkaanza kufanya shughuli zenu,tumeona baadhi ya vijana waliosomea kwa mfano uhasibu wakianzisha kampuni za uhasibu na ukaguzi na wanaendelea vizuri ,wao wameona kuna pengo kati ya wafanyabiashara na mambo ya kodi au ukaguzi wa vitabu kutokana na sheria kwamba kwa biashara yoyote lazima uwe na vitabu vya mahesabu ndio ukadiriwe TRA au upate tenda kwenye mashirika, waliosomea uganga au maabara wanaweza kuanzisha maabara zao za uchunguzi wa magonjwa na kutokona na hali ya aisha siku hizi watu wa maabara wanapiga pesa ndefukutokana na kazi zao. Tatizo tunataka serikali iwe mwaajiri wakati ni jambo lisilowezekana na kujiajiri serikali imeweka mazingira bora ya kila mtu afanye kazi,imetengeza miundo mbinu, imerahisisha usajiri wa kampuni na hata sasa inafanya maboresho kwenye mambo ya ukusanyaji mapato hivyo ndio serikali inasaidia.Fanyeni kazi ,ajira zisizo rasmi zipo nyingi ,lima hata bustani utapata pesa, nendeni nje mkabebe box sio mnakaa tu ,wenzetu Wakenya wana uthubutu wa kutoka nje na kujiamini kwenda kutafuta au kufanya kazi, hiyo ni njia nyingine ya ajira.Wakati akilihutubia bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali itaanza kutoa elimu ya itakayomuwezesha msomi kujiajiri.
Maswali haya yafuatayo yatadhibitisha kuwa serikali ni chanzo Cha tatizo hili 100%:
1.Serikali ilikubalije kutumika kwa mtaala huu mashuleni na vyuoni,usiowafanya wasomi wajiajiri?
2.Je,Hawa waaomi ambao tayari wamehitimu ktk mtaala huu ambao una matatizo (hauwafanyi wasomi wajiajiri),wanasaidiwaje?
3. Kuna baadhi ya kozi vyuoni( especially vyuo vikuu), wasomi wanadhaminiwa kwa asilimia mia,je,
Unatoaje udhamini wa asilimia mia huku ukijua msomi huyu akihitimu humpi au hapati ajira?
4. Bado siamini,hivi mfano mtu umesomea kozi zifuatazo,utaweza vipi kujiajiri?
Ualimu, Utawala,Mipango, maendeleo ya jamii,sayansi ya siasa.
Laaa! Mungu aseme na viongozi wetu,
La sivyo
Tutaendelea kuomba ili Mungu atende tena.
Nani kakwambiaaliyesoma political science hawezi kujiajiri? labda awe kihiyo, kwanini asianzishe kampuni ya ushauri wa mambo ya kisiasa,si umeona kuna NGOs nyingi na watu binafsi wanaishi kwa ajili ya kuwa washauri wa mambo ya siasa? pia unaweza kuajiriwa na Chadema/CCM/TLP/ACT etc ukawa mshauri wao. Tatizo la vijana wetu wanashindwa kujiamini kila msomi anataka aajiriwe BOT, TRA ,Serikalini au kwenye wakala wa serikali, makampuni ya simu.Mtu umesomea political science,unaambiwa eti "ujiajiri"!
Hizi ni akili gani hizi?
Chanzo cha serikali ni wewe. Kama huwezi kuleta mabadiliko kwa elimu uliyo ipata serikali haihusaidi. Elimu ya Chuo huwa inapanua uwezo wako wa kufikiri na utayari wa kutenda, Chuo Kikuu hakifundishi Mafundi Mchundo, ni vyuo vya katikati ndio kazi yake.Wakati akilihutubia bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali itaanza kutoa elimu ya itakayomuwezesha msomi kujiajiri.
Maswali haya yafuatayo yatadhibitisha kuwa serikali ni chanzo Cha tatizo hili 100%:
1.Serikali ilikubalije kutumika kwa mtaala huu mashuleni na vyuoni,usiowafanya wasomi wajiajiri?
2.Je,Hawa waaomi ambao tayari wamehitimu ktk mtaala huu ambao una matatizo (hauwafanyi wasomi wajiajiri),wanasaidiwaje?
3. Kuna baadhi ya kozi vyuoni( especially vyuo vikuu), wasomi wanadhaminiwa kwa asilimia mia,je,
Unatoaje udhamini wa asilimia mia huku ukijua msomi huyu akihitimu humpi au hapati ajira?
4. Bado siamini,hivi mfano mtu umesomea kozi zifuatazo,utaweza vipi kujiajiri?
Ualimu, Utawala,Mipango, maendeleo ya jamii,sayansi ya siasa.
Laaa! Mungu aseme na viongozi wetu,
La sivyo
Tutaendelea kuomba ili Mungu atende tena.
Kama mtu amehitimu chuo kikuu halafu hawezi kujiajiri basi huyo siyo msomi bali anaitwa " Aliyekariri"Wakati akilihutubia bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali itaanza kutoa elimu ya itakayomuwezesha msomi kujiajiri.
Maswali haya yafuatayo yatadhibitisha kuwa serikali ni chanzo Cha tatizo hili 100%:
1. Serikali ilikubalije kutumika kwa mtaala huu mashuleni na vyuoni,usiowafanya wasomi wajiajiri?
2. Je,Hawa waaomi ambao tayari wamehitimu ktk mtaala huu ambao una matatizo (hauwafanyi wasomi wajiajiri),wanasaidiwaje?
3. Kuna baadhi ya kozi vyuoni( especially vyuo vikuu), wasomi wanadhaminiwa kwa asilimia mia,je,
Unatoaje udhamini wa asilimia mia huku ukijua msomi huyu akihitimu humpi au hapati ajira?
4. Bado siamini,hivi mfano mtu umesomea kozi zifuatazo,utaweza vipi kujiajiri?
Ualimu, Utawala,Mipango, maendeleo ya jamii,sayansi ya siasa.
Laaa! Mungu aseme na viongozi wetu,
La sivyo
Tutaendelea kuomba ili Mungu atende tena.
Serikali hipi Duniani umewahi kusikia ilimaliza tatizo la ajira likawa 0%?Wakati akilihutubia bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali itaanza kutoa elimu ya itakayomuwezesha msomi kujiajiri.
Maswali haya yafuatayo yatadhibitisha kuwa serikali ni chanzo Cha tatizo hili 100%:
1. Serikali ilikubalije kutumika kwa mtaala huu mashuleni na vyuoni,usiowafanya wasomi wajiajiri?
2. Je,Hawa waaomi ambao tayari wamehitimu ktk mtaala huu ambao una matatizo (hauwafanyi wasomi wajiajiri),wanasaidiwaje?
3. Kuna baadhi ya kozi vyuoni( especially vyuo vikuu), wasomi wanadhaminiwa kwa asilimia mia,je,
Unatoaje udhamini wa asilimia mia huku ukijua msomi huyu akihitimu humpi au hapati ajira?
4. Bado siamini,hivi mfano mtu umesomea kozi zifuatazo,utaweza vipi kujiajiri?
Ualimu, Utawala,Mipango, maendeleo ya jamii,sayansi ya siasa.
Laaa! Mungu aseme na viongozi wetu,
La sivyo
Tutaendelea kuomba ili Mungu atende tena.
Tatizo ninaloliona mie kwa mitazamo ya wasomi wajiajiri ni kwamba tunakuwa solution za kufuta kuganga njaa baadala ya kuwa na solution za kuleta maendeleo.Hawajafunguka tu ufahamu...sasa hv wanavyuo wasifikirie kuajiriwa....
Mfano kada ya ualimu mishe mob ni zipi ambazo zitamfanya huyu mwalimu ajiajiri???Ukweli na usemwe... sio Tz tu ajira hakuna...sema sasa Serikali uweke mazingira mazuri ya wahitimu waweze kujiajiri...kusiwe na longolongo
Yaani mambo yabkufanya yapo mengi sana. Hizo kada zote ulizotaja mitaani kuna mishe mob za kufanya .ishu tunataka kufika mapema..hatupendi kuteseka
He he heee Umofia kwenuWakati akilihutubia bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali itaanza kutoa elimu ya itakayomuwezesha msomi kujiajiri.
Maswali haya yafuatayo yatadhibitisha kuwa serikali ni chanzo Cha tatizo hili 100%:
1. Serikali ilikubalije kutumika kwa mtaala huu mashuleni na vyuoni,usiowafanya wasomi wajiajiri?
2. Je,Hawa waaomi ambao tayari wamehitimu ktk mtaala huu ambao una matatizo (hauwafanyi wasomi wajiajiri),wanasaidiwaje?
3. Kuna baadhi ya kozi vyuoni( especially vyuo vikuu), wasomi wanadhaminiwa kwa asilimia mia,je,
Unatoaje udhamini wa asilimia mia huku ukijua msomi huyu akihitimu humpi au hapati ajira?
4. Bado siamini,hivi mfano mtu umesomea kozi zifuatazo,utaweza vipi kujiajiri?
Ualimu, Utawala,Mipango, maendeleo ya jamii,sayansi ya siasa.
Laaa! Mungu aseme na viongozi wetu,
La sivyo
Tutaendelea kuomba ili Mungu atende tena.
Mataga questionsSerikali hipi Duniani umewahi kusikia ilimaliza tatizo la ajira likawa 0%?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufungua shule mkuu!...Mfano kada ya ualimu mishe mob ni zipi ambazo zitamfanya huyu mwalimu ajiajiri???
Ndo hiyo nasemea serikali isaidie wenye maono ya mbali....tusiishie wote kuendesha bajaj...! Mie naona mambo ya kufanya ni mengi ila tu ukiritimba uliopo serikalini unaboa....Tatizo ninaloliona mie kwa mitazamo ya wasomi wajiajiri ni kwamba tunakuwa solution za kufuta kuganga njaa baadala ya kuwa na solution za kuleta maendeleo.
Inapelekea wasomi wafanye vitu nje kabisa na taaluma zao. Mfona yule dada ana masters alafu anasifiwa kwa kujiajiri kuendesha bajaj.
Kama kwwli tina nia ya dhati ya kuwa donor country basi hizi fikra zinatakiwa zibadilike lah sivyo tutaendelea kuwa wapokeaji tuu.