Wasomi kukosa ajira ilaumiwe Serikali 100%

Huwezi kuelewa,maana hujayajua maisha halisi ya watanzania wengi.
Mfano,mtaji wa kujiajiri unapatikana wapi?
Hata hao serikali wenyewe huwa hawasemi mtaji unapopatikana.
 
Una ubongo mdogo labda.
Tofautisha kuajiriwa na kujiajiri.Hoja hapa ni kujiajiri.
 
Hapa umeongea mazuri ila watu wa kukuelewa ni wachache.
 
walikosaje ajira ikiwa ndege zilinunuliwa,hao wasomi hawajui kiendesha ndege,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…