Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
It's a shame! Umeme wa uhakika ndio unaleta maendeleo katika taifa lolote lile ulimwenguni, kabla ya kushughulikia na lolote lile taifa au mataifa huuimarisha umeme wake ndipo mengine hufuata, je wanazuoni wetu wameshindwa kutatua hili? Nashauri tupunguze kasi kwenye mengine na tuimarishe hili kwanza.
Tunayo uranium tujenge kinu salama. Siuamini umeme utokanao na maji kwa 100%.kwa sababu tabia nchi inaweza kuuathiri mfumo wa maji.
-Kinu salama kinatengenezwa kwa mfumo wa fusion na sio vya kizamani vya fission,kwani mfumo wa fusion hauzalishi taka hatari.
“I think modern nuclear power plants are safe contrary to what people may think,” the Tesla and SpaceX CEO said.
TUTUMIE UZI HUU KWA USAIDIZI WA WAJUZI MBALI MBALI KUONA LABDA TUNAWEZA KUSAIDIA BONGOLALA!