masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
- #21
Kuhalalisha poor standards nako kunahitaji kipaji.Punguza ujuaji. Angekua pekua si ndio ungeshangaa zaidi. Unajua kuna watu wana shida ya mifupa, hivyo wanavaa Raba tu.
No wonder vyuo kama hivi vinaridhika na poorly performing academics.