Wasomi na hili tulijadili latuhusu[ siasa,elimu, maendeleo vinategemeana]

ASCUDA T

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
120
Reaction score
33
Ndugu wasomi wa nchi hii embu tutafakari leo na kushirikishana kuhusu suala la nchi yetu kujiingiza katika vita mbalimbali. Je bajeti ya nchi yetu inatosha mpaka kupeleka majeshi katka kila nchi amani inapotoweka? Tazama uchumi wetu unasuasua sasa je tunafanya haya kwa faida? Ushauri kwa taifa langu vita ianpotoke kwa wenzetu iwe fursa kwa kuuza chakula na kujifunza mapungufu ya wenzetu. Kwani wakati mwingine tunaweza kuona tunatenda wema bali tunaongeza maadui. Navyoelewa ukiitaka kuishi kwa amani duniani inabidi kupunguza mafungamano. Kwa xasa taifa limeshindwa kuwapa fedha wanafunzi kusoma elimu ya juu lakini inapesa za kupeleka wanajeshi kongo poleni wema usizidi uwezo. Nafikiri katiaba mpya iangalie suala la kupunguza mamlaka ya rais maana sidhani kama tunafaidika kwenda kongo. Hosptals hazina dawa, wagonjwa wanalala wawili kitanda kimoja, shule hazina maabara walimu hawatosho,bado watoto wanakalia ndoo za maji darasani, akinamama wanasafiri umbali mrefu kwenda hospita kujifungua wengine hufia njiani.
 
Ninavyojua Katika makubaliano ya umoja wa mataifa ni kwamba kila nchi huru inawajibika kusaidia nchi nyingine kurinda usalama wa raia, pia majeshi ya nchi yanapoenda kusaidia kurinda amani yanakuwa chini ya amri jesh mkuu ambae kwa sasa ni 'Bonk n moon' so UN ndo inahusika na majeshi hayo kuanzia kusafiri mpaka kwenye mazishi inapotokea, na familia zao zinapewa fidia na UN na sio pesa ya walipakodi.
 
Ni kama alivyochangia mdau hapo juu, hata mimi ninafahamu hivyo kuwa, umoja wa mataifa ndiyo wanaohusika na gharama za vita zikiwemo mahitaji ya askari (posho, misosi, silaha, risasi, mafuta yaani diesel, petrol, n.k), pia nchi inayotoa askari huwa inapata ruzuku kwa kiasi fulani. Ni pesa nyingi sana huwa zinatolewa na UN kwa upande wa nchi iliyotoa askari wake kwenda kushiriki vita. Hivyo basi, si kweli kwamba Tanzania inaingia hasara kwa kutumia pesa zake labda upande wa askari wanaopoteza maisha wakiwa huko.

Halafu, hebu jaribu kuwa unatafuta ukweli wa mambo kabla hujapost uzi wako kwa ajili ya kujadiriwa, maana umeandika mambo mengi ambayo kama ungekuwa umefanya japo ka research kadogo usinge yataja, kifupi umefikiria tu then ukaleta tujadili. Ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom