Wasomi ndio wanaiongoza hii dunia, wasomi waheshimiwe

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Jana kuna mtaalam mmoja wa coding amehack mitandao ya Facebook, WhatsApp, na instagram dunia nzima ilisimama, viongozi wote walisimama, wasanii wote walisimama. Mpaka wengine walitaka kupasua simu zao. Na wengine Kutaka kushika watu uchawi.

Jana hata mawaziri walikua wanahaha mitandao haishiki😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Wasomi wenyewe siyo hawa wa hapa bongo...wanywa gongo, wapenda ngono, na wenye elimu makaratasi.
 
Back
Top Bottom