Wasomi ndio wanaiongoza hii dunia, wasomi waheshimiwe

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Jana kuna mtaalam mmoja wa coding amehack mitandao ya Facebook, WhatsApp, na instagram dunia nzima ilisimama, viongozi wote walisimama, wasanii wote walisimama. Mpaka wengine walitaka kupasua simu zao. Na wengine Kutaka kushika watu uchawi.

Jana hata mawaziri walikua wanahaha mitandao haishikiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wasomi wenyewe siyo hawa wa hapa bongo...wanywa gongo, wapenda ngono, na wenye elimu makaratasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…