Wasomi Tanzania wamejichokea kwa corona, Profesa mzima anajisifia kutokuvaa barakoa ili amfurahishe mkulu

Wasomi Tanzania wamejichokea kwa corona, Profesa mzima anajisifia kutokuvaa barakoa ili amfurahishe mkulu

Hawa wenzetu ndio wanataka tupishane kwenye mipaka bila wao kupimwa, kwao huko wataalam na wasomi wote wamejichokea kwenye hili la corona na wote wamejiunga kwenye praise team, hakuna anayediriki kuwa na mtazamo wa kitaalam tena

Kwenye hii video, profesa Kabudi, msomi aliyebobea anajisifia kutokuvaa barakoa ili amkoshe Rais. Sasa hawa ndio humshauri Mkulu mnaposkia kauli za kiajabu ajabu

Kenya yafungua mipaka, madereva wa tz hawapimwi tena kama walivyotaka kenya.
 
Nyie wenyewe mumetumia mfano wa Trump kama sababu za kutovaa masks, juzi huyo trump kasema watu wanywe sijui detergents kama dawa ya corona, natumai hamkuingia huo mkenge maana ninavyowafamu mlivyo, huwa hamuna za kujiongeza.
Trump kaiga nyingine kwa JPM, kasema kwenye nyumba za ibada watu RUKSA kwenda ibadani.
 
Kabudi kahusika Kwenye hili ndio Mana unalia lia
Sijui kwanini wasomi hujichokea wakishapewa nyadhifa, huyo jamaa kuna kipindi alikuja hapa Kenya akatoa hotuba nzuri sana kuhusu uongozi na demokrasia, yaani nondo, mpaka nikajikuta najiambia huyu akawa rais wa Tanzania mnaweza mkatoka kimasomaso, tatizo nadharia tupu maana alipovuka mpaka na kurudi huko kwenu akashusha kila kitu na kurudia hali yake ya awali.
Itazame hii video tulivyomshabikia huyo Kabudi....

YAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva Corona

habarileo.co.tz17h

[https://res]

NCHI za Tanzania na Kenya zimeafikiana kuwa madereva watatakiwa kupimwa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona katika nchi zao na kupewa cheti maalum kitakachowatambulisha kutokuwa na maambukizi ambacho kitakuwa halali kwa siku 14 pekee.

Baada ya siku hizo kukamilika, madereva hao watalazimika kupimwa tena wakiwa nchini Kenya au Tanzania na endapo watagundulika, watarudishwa katika nchi zao.

Hayo yameelezwa leo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwele leo, Ijumaa, mpakani Namanga baada kumalizika kikao kilichomjumuisha Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, James Macharia.

Kukutana kwa mawaziri hao na hatimaye kufikia makubaliano hayo kumetokana na mazungumzo yaliyofanyika hivi karibuni kwa njia ya simu baina ya Rais John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya.

Akiwa mkoani Singida, Rais Magufuli alibainisha kuwa wameshamaliza sintofahamu hiyo hivyo ilikuwa ni suala la watendaji wa serikali zote mbili kukutana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia Kuna maambukiz ya kipindu pindu watu miatano wanaumwa wamesha kufa 20 Kenya mtakua mnalana nyie Corona kipindu pindu vyote vyenu

Alafu Bora sis ma professor wetu hawavai mask wanajindanganya wenyewe Ila nyie ma professor wenu wamewaambia Corona inapatika usiku tu so msitoke nje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa wenzetu ndio wanataka tupishane kwenye mipaka bila wao kupimwa, kwao huko wataalam na wasomi wote wamejichokea kwenye hili la corona na wote wamejiunga kwenye praise team, hakuna anayediriki kuwa na mtazamo wa kitaalam tena

Kwenye hii video, profesa Kabudi, msomi aliyebobea anajisifia kutokuvaa barakoa ili amkoshe Rais. Sasa hawa ndio humshauri Mkulu mnaposkia kauli za kiajabu ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just in case you intentionally did not read it. Here is the link again. Read and learn then come and talk like a man. Kenya gets more money by exporting fish. The money we use to import fish is less than what we get by exporting.

Fish exports earn more than imports
Stupid, 180,000 tonnes of fish, you sell these fish, than you buy 500,000 tonnes of fish. You make more money by selling less than half of what you buy, are those Kenyan fish have golden Eyes.

Nenda danganya watu kutoka Nigeria, hivyo vijarida na blogs zenu za kijinga ndivyo vinavyowajaza ujinga. Haiwezikani nchi izalishe 180,000 tonnes wakati mahitaji yake ni 500,000tonnes na bado inauza nje ya nchi. Ninyi wakenya ni wajinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wenzetu ndio wanataka tupishane kwenye mipaka bila wao kupimwa, kwao huko wataalam na wasomi wote wamejichokea kwenye hili la corona na wote wamejiunga kwenye praise team, hakuna anayediriki kuwa na mtazamo wa kitaalam tena

Kwenye hii video, profesa Kabudi, msomi aliyebobea anajisifia kutokuvaa barakoa ili amkoshe Rais. Sasa hawa ndio humshauri Mkulu mnaposkia kauli za kiajabu ajabu

Kwani nyinyi wasomi wenu wamefanya nini kumaliza ufisadi,wao wamejiunga na praise team badala waikemee pia wamewasaidia vp kumaliza ukabila,sio ndio wao wanaongoza kuwaua.
 
Back
Top Bottom