barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kenya yafungua mipaka, madereva wa tz hawapimwi tena kama walivyotaka kenya.Hawa wenzetu ndio wanataka tupishane kwenye mipaka bila wao kupimwa, kwao huko wataalam na wasomi wote wamejichokea kwenye hili la corona na wote wamejiunga kwenye praise team, hakuna anayediriki kuwa na mtazamo wa kitaalam tena
Kwenye hii video, profesa Kabudi, msomi aliyebobea anajisifia kutokuvaa barakoa ili amkoshe Rais. Sasa hawa ndio humshauri Mkulu mnaposkia kauli za kiajabu ajabu
Trump kaiga nyingine kwa JPM, kasema kwenye nyumba za ibada watu RUKSA kwenda ibadani.Nyie wenyewe mumetumia mfano wa Trump kama sababu za kutovaa masks, juzi huyo trump kasema watu wanywe sijui detergents kama dawa ya corona, natumai hamkuingia huo mkenge maana ninavyowafamu mlivyo, huwa hamuna za kujiongeza.
Haya endeleeni kuigana baina ya Trump na JPM.....hehehe
YAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva CoronaSijui kwanini wasomi hujichokea wakishapewa nyadhifa, huyo jamaa kuna kipindi alikuja hapa Kenya akatoa hotuba nzuri sana kuhusu uongozi na demokrasia, yaani nondo, mpaka nikajikuta najiambia huyu akawa rais wa Tanzania mnaweza mkatoka kimasomaso, tatizo nadharia tupu maana alipovuka mpaka na kurudi huko kwenu akashusha kila kitu na kurudia hali yake ya awali.
Itazame hii video tulivyomshabikia huyo Kabudi....
Hawa wenzetu ndio wanataka tupishane kwenye mipaka bila wao kupimwa, kwao huko wataalam na wasomi wote wamejichokea kwenye hili la corona na wote wamejiunga kwenye praise team, hakuna anayediriki kuwa na mtazamo wa kitaalam tena
Kwenye hii video, profesa Kabudi, msomi aliyebobea anajisifia kutokuvaa barakoa ili amkoshe Rais. Sasa hawa ndio humshauri Mkulu mnaposkia kauli za kiajabu ajabu
Stupid, 180,000 tonnes of fish, you sell these fish, than you buy 500,000 tonnes of fish. You make more money by selling less than half of what you buy, are those Kenyan fish have golden Eyes.Just in case you intentionally did not read it. Here is the link again. Read and learn then come and talk like a man. Kenya gets more money by exporting fish. The money we use to import fish is less than what we get by exporting.
Fish exports earn more than imports
Kwani nyinyi wasomi wenu wamefanya nini kumaliza ufisadi,wao wamejiunga na praise team badala waikemee pia wamewasaidia vp kumaliza ukabila,sio ndio wao wanaongoza kuwaua.Hawa wenzetu ndio wanataka tupishane kwenye mipaka bila wao kupimwa, kwao huko wataalam na wasomi wote wamejichokea kwenye hili la corona na wote wamejiunga kwenye praise team, hakuna anayediriki kuwa na mtazamo wa kitaalam tena
Kwenye hii video, profesa Kabudi, msomi aliyebobea anajisifia kutokuvaa barakoa ili amkoshe Rais. Sasa hawa ndio humshauri Mkulu mnaposkia kauli za kiajabu ajabu