Wasomi tunaomba ufafanuzi kwenye hili

Tofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
 
Unaanzaje na solution bila maswali? Hata research procedure lazima ianze na research questions halafu research hypothesis mwishoni huko kwenye conclusion ndio unapata solutions sasa hao wasomi wako wanafanyaje?
 
hiyo graph ukiangalia wewe unatakiwa ufanye nini ili hizo variables zichange Kama msomi?
 
Tofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
Bila kujiuliza maswali utapataje majibu hivi hujasomaga steps and procedures of making decisions sio... Kuna hatua ya kujenga maswali na kutafuta majibu na hapo ndiyo utajua nini cha kufanya, wewe nikuweke kwenye category gani ya wasomi maana ni aibu

Super hero daddy
 
Hahaha Alphayo Kidata yuko wapi?! Kama ni fisadi mbona hashitakiwi?! Toka TRA mpaka Ikulu mpaka ubalozi Canada, na alivyo toka Canada sijui meli aliyopanda ilipitea au ndege aliyopanda haijafika?!
Mkulu aligundua walimpikia data, alizitafuta pesa hakuziona, akamuita aliyepika naye hazioni, msala ukaanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…