Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa tufanye nini ?Tofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
Kwan usomi wako ulisoma ili ufanye nini?sasa tufanye nini ?
Unaanzaje na solution bila maswali? Hata research procedure lazima ianze na research questions halafu research hypothesis mwishoni huko kwenye conclusion ndio unapata solutions sasa hao wasomi wako wanafanyaje?Tofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
Tofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
Aisehh this is too bad
Kifua mbele kwa chart [emoji408] hiyo, acha ukichaaTembea kifua mbele over
Sisi tusiosoma tusikilize tu labda tutaelewa mtakavyokuwa mnajadili nyie wasomi
And we are not exporting enough hiyo foreign currency tunaipataje ndiyo maana dollar imekua adimu,na kuzifungia bureau de change
Duh!Sisi tusiosoma tusikilize tu labda tutaelewa mtakavyokuwa mnajadili nyie wasomi
Tofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
hiyo graph ukiangalia wewe unatakiwa ufanye nini ili hizo variables zichange Kama msomi?Unaanzaje na solution bila maswali? Hata research procedure lazima ianze na research questions halafu research hypothesis mwishoni huko kwenye conclusion ndio unapata solutions sasa hao wasomi wako wanafanyaje?
Kumbe nyie ndio mnaotusumbua jukwaani kwa kutokua na elimu?,jinga sana kuleta kitu usichokijua A to Z,hata idea ni Zero ,"Pathetic"
Hiyo graph haiulizi swali.Wasomi nchi zilizoendelea maswali huwa internal wakitoka public wanakuja na solution. Wa nchi zisizoendelea huja na maswali kwenye public!!!!
Hao ndio chadema ,ubishi,ujuaji for nothingUnaanzaje na solution bila maswali? Hata research procedure lazima ianze na research questions halafu research hypothesis mwishoni huko kwenye conclusion ndio unapata solutions sasa hao wasomi wako wanafanyaje?
Bila kujiuliza maswali utapataje majibu hivi hujasomaga steps and procedures of making decisions sio... Kuna hatua ya kujenga maswali na kutafuta majibu na hapo ndiyo utajua nini cha kufanya, wewe nikuweke kwenye category gani ya wasomi maana ni aibuTofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
Hawezi kukupa majibu yeye mwenyewe hajijui yupo kwenye kipengele gani cha wasomisasa tufanye nini ?