Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemjibu vizuri sana, na ndiyo nilicho mjibu, sasa yeye ni msomi kundi lipiUnaanzaje na solution bila maswali? Hata research procedure lazima ianze na research questions halafu research hypothesis mwishoni huko kwenye conclusion ndio unapata solutions sasa hao wasomi wako wanafanyaje?
Lakini kaka wasomi walishausoma mchezo na kushauri kuliacha soko huria lifanye kazi yake..akiwemo huyu tusiye mpenda CCM Mh. Zitto Kabwe. Lakini Msomi mkuu alisisitiza bei ni ndogo Serikali itazinunua. Akatokea Msomi wa Physical Education Mh. PM Majaliwa akatangaza kabla ya masaa yaliyotolewa na Rais kuwa amejitokeza mnunuzi kutoka China annunua..akajibiwa Mh. Rais Msomi Mkuu kuwa wamechelewa na tutanunua wenyewe.. Nadhani wasomi walijitahidi sana tumefikia hapa. Labda ushauri kama wosomi wasiosoma kama sisi tusubirie mwakani msimu mpya tutumie soko huria kuipatia fedha za kigeni nchi yetu. Kwa sasa tuzigawe kwa wabanguaji wadogo wabangue na kutuuzia mtaani baada ya kupata kile kitambulisho cha machinga. Asante sanaYehodaya.Kwan usomi wako ulisoma ili ufanye nini?
Kwa sababu solution watoazo zinafanyiwa na hapa zinabezwaTofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
Mkuu hizo histogram zinakua kwa kwenda chini. Hawa BOT na TRA ni wasaliti. Hizo histogram zao kwanza hazijathibitishwa na NBS. Washtakiwe kwa uhujumu uchumi na kukosa uzalendo kwa Jamhuri yetu
Toa solution wacha kuuliza maswali.hiyo graph ukiangalia wewe unatakiwa ufanye nini ili hizo variables zichange Kama msomi?
mimi sio msomi nawauliza wasomi Kama mleta MadaToa solution wacha kuuliza maswali.
We si ndiyo umesema wasiulize maswali watoe solution...mbona unajichanganya mwenyewe?mimi sio msomi nawauliza wasomi Kama mleta Mada
Nimekulia Denmark ambako nilizoea kuona wasomi wanatoa solution sio kuuliza maswali.We si ndiyo umesema wasiulize maswali watoe solution...mbona unajichanganya mwenyewe?
😀😀 Kwa hiyo tufanyeje?Nimekulia Denmark ambako nilizoea kuona wasomi wanatoa solution sio kuuliza maswali.
hilo swali tusio wasomi ndio tunawauliza nyie wasomi Mtupe solution😀😀 Kwa hiyo tufanyeje?
Good on transit ama wakulima walirudishiwa kwa kigezo hazina ubora?Naona chat inaonyesha comparisons ya commodities kwa miaka miwili yofauti.. Hapo nadhan downfall of korosho revenue imebe influenced by only factor korosho bado ipo gharani(Good on Transit). Na report imecgukua only sales recorded on cash book.(korosho iliyouzwa tayari)
Haziwezi fanana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaanzaje na solution bila maswali? Hata research procedure lazima ianze na research questions halafu research hypothesis mwishoni huko kwenye conclusion ndio unapata solutions sasa hao wasomi wako wanafanyaje?
Mfano hesabu Kama hiI 3+X=5 tafuta X ukimuuliza msomi Kwa nini umeweka hiyo X namba isiyojulikana niitafute? Atakujibu kisomi kuwa maisha yako yote una Kazi ya kutafuta X ni nini ili ufanikiwe. Ukiwa maskini unakuwa bado hujajua X ni nini ili uwe tajiriFafanua Chart hii. Sio kila swali lazima liwe na Question Mark! Wasomi wakweli wanajua kufafanua na kutoa maelezo ambayo 'a lay person' anaweza kupata kuelewa chart ina maana gani katika maisha yake. Hata kwenye mtihani wa darasa la nne kuna maswali kama: "fafanua msemo huu."
Kwanza kabisa nakushukuru kwa kuleta hoja hii ya tofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na wasomi wa nchi ulizoziita ZISIZOENDELEA.. mwingine angesema nchi ZINAZOENDELEA.Tofauti ya wasomi wa nchi zilizoendelea na zisizoendelea ni moja wasomi wa nchi zilizoendelea na tajiri hujikita kwenye solution wakati wasomi wa nchi zisizoendelea hujikita kwenye maswali.
tangu lini kuuliza ikawa ujinga ?Kumbe nyie ndio mnaotusumbua jukwaani kwa kutokua na elimu?,jinga sana kuleta kitu usichokijua A to Z,hata idea ni Zero ,"Pathetic"
Sent using Jamii Forums mobile app