Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye suala la Katiba Mpya haya ndio matokeo yake

Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye suala la Katiba Mpya haya ndio matokeo yake

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye swala la Katiba mpya haya ndio matokeo yake.

Sasa kila mtu anawaza kuwa Rais au first lady, hata watu ambao hawana vigezo wala maadili ya kugombea hata udiwani nao nawaza kuwa Marais wa Tanzania au mafirst lady waTanzania.

Someni wenyewe hichi alicho andika Maua Sama.

Kwa kifupi Maua unatukosea sana Watanzania, sasa ukisha kuwa Rais au ukawa first lady, utakipa funzo gani kizazi chetu. Kwenye KATIBA mpya kipengele cha Maadili kitazingatiwa sana, rekodi ya Maadili yako ya nyuma ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa letu.

Screenshot_20210705_140234.jpg
 
Nikiona mtu anapinga Katiba mpya namuona haipendi Tanzania anapenda tumbo lake tu.
 
Back
Top Bottom