Wasomi tusaidieni kuunganisha mashirika ya ndege Afrika

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Wataalamu wasomi na wanamajumui kwa kuweka ubinafsi kando na uafrika mbele, hili jambo kama si leo ni siku zijazo laweza leta mapinduzi chanya katika kujikwamua na kuamsha shughuli nyingi za kiuchumi kijamii kiafya n.k.

Hebu wasomi tusaidieni tufanyaje?

Zingatia kama sio fitna leo East Africa Airways ingekuwa mbali sana na nauli zingekuwa chini.

Fikiri Shirika la ndege la Ethiopian, Kenya, Afrika Kusini, Misri na tushirika twingine kama vile Twiga mnyonge hebu tusaidieni basi.
 
Utakuwa unafanya utani kama yule msomi mwenye Wizara ya Burudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…