Laroi Butata
Member
- Oct 28, 2020
- 91
- 103
Ninavyojua Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam na matawi yote ya chuo hicho kikiwepo chuo kikuu cha Mkwawa pale Iringa ni Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete.
Kunapokuwa na dhifa ya chuo inayofanya kuwepo kwa mkuu huyo kuwepo hatuwezi kusema mgeni rasmi ni Mkuu wa Chuo bali huyo tayari ni mkuu kwa cheo chake hapo chuoni.
Mfano, Open university walifanya mahafali yao pale Unguja Zanzibar a mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi, Dr Hussein Mwinyi ilihali mkuu wa chuo yupo.
Naangalia nafasi y mkuu wa chuo ambayo ni wajibu kuwepo ni siyo kukasimishwa kama mgeni.
Hili bango sikutegemea kulisoma hivi kwa chuo kama chenu.