Wasomi wa Degree tuna changamoto kwenye ajira

Kwanza pole Mkuu then hizo Ajira zenyewe ni Ajira uchwara Sana hata ukiipata haina chochote unaweza zaidi ya Kupata hela ya kula .


Kama kijana mwenye focus omba scholarship uende Nchi za nje au fungua Biashara don't stay on stuck line
NAKAZIA

Hasa hapo kwenye kujiajiri
 
Hahaha [emoji1787][emoji23] Tanganyika
 
Huu ndio ukweli hata ajira za June waliotoboa wengi ni certificates na deplomas digrii labda kwenye afya.

Wanasema mshahara wa mtumishi mmoja wa digrii ni sawa watumishi watatu wa certificates ,kwhy hauwezi kuwanyima haki watu watatu Kwa ajili ya mmoja


Never,
 
Kichwa Cha habari ilibidi kiwe

WASOMI WA DEGREE TUNACHANGAMOTO YA MFUMO WA ELIMU .

KILIO CHA SUALA ZIMA LA AJIRA HAKIJAANZA LEO ....BECAUSE KILA MWAKA MAELFU YA VYUO YANA PRINT WAHITIMU .


HATA KUJIAJIRI PIA NI AJIRA.

LET'S TALK REVOLUTION, LET'S TALK SOLUTIONS NOT PROBLEMS. [emoji848]
 
Asante. Hayo nilishafanya. Na nipo katika hatua ya kuniridhisha.
 
Heri ungeenda chuo cha ufundi kusomea ufundi tu.

Ukiwa kwenye data base ya utumishi huwezi pata kazi kwa vigezo tofauti na ulivyoweka ajira portal
 
Heri ungeenda chuo cha ufundi kusomea ufundi tu.

Ukiwa kwenye data base ya utumishi huwezi pata kazi kwa vigezo tofauti na ulivyoweka ajira portal
Siyo kila mtu anaweza au anaweza kuwa fundi. Cha msingi ni kufuata matakwa ya moyo na kile kinachokupa amani
 
Wewe ni mwanasheria, ulitumia elimu yako kujitetea? Au hamkusoma mambo ya sheria na haki za ajira? Na vipi mtaani/mtandaoni, huwezi kujitangaza na kusaidia kiushauri masuala ya sheria na haki kwa ujumla, ukajisaidia kwa kipato hapa na pale?
 
Wewe ni mwanasheria, ulitumia elimu yako kujitetea? Au hamkusoma mambo ya sheria na haki za ajira? Na vipi mtaani/mtandaoni, huwezi kujitangaza na kusaidia kiushauri masuala ya sheria na haki kwa ujumla, ukajisaidia kwa kipato hapa na pale?
Sijasema kwamba sina kipato. Kipato ninacho na hata assets pia ninazo. Nina shughuli zangu binafsi.
 
Reactions: Auz
Dogo upo tayari kuingia msituni ?
 
Wewe ni mimi kabisa nikiwa na degree ya UDSM nipo vijijini napiga kazi nikaona ili niweze kutoka kijijini ni bora nisome Ordinary Diploma au nisome VETA nikadahiliwa Diploma nikaanza kusoma baada ya kupewa ruhusa ya masomo(Master degree).

Baada ya miezi mitatu nikapigiwa simu kutoka kwenye taasisi moja ya serikali ipo Dares Salaam kuwa kibali cha kuhamia kimetoka.

Nikahamia na sikuendelea na habari ya Diploma.
Nikiwa Dar es Salaam nikasoma degree nyingine.

Nikaomba Recategorization ili kubadili kada hadi muda huu naandika nalamba asali pia nafanya kazi ninayoipenda.

La mwisho akili ya kupambana hivi ilikuja baada ya kubanwa na yule chizi wa Chato Magufoool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…