Wasomi wa Degree tuna changamoto kwenye ajira

Hongera mkuu
 
Ondoa mentality ya kuajiriwa. Umesoma kupanua akili upate wigo mpana wa kupambana na maisha. Usiwe selective na lipi la kufanya kukuingizia kipato cha kutosha kwa sasa na baadaye, mradi ni halali kisheria.
 
Waliosomea sheria wenzio ni Mawakili wamejiajiri wewe unaandika ujinga hapa.
 
Ondoa mentality ya kuajiriwa. Umesoma kupanua akili upate wigo mpana wa kupambana na maisha. Usiwe selective na lipi la kufanya kukuingizia kipato cha kutosha kwa sasa na baadaye, mradi ni halali kisheria.
Umeandika kama vile nimesema sina kazi ya kufanya.
 
Sasa kama wanajua kabisa hawawahitaji watu wa degree kwa nn wanaendelea kuwa dahili huko vyuoni??? This is shit,,, yaan serikali hyo hyo inasimamia elimu,, serikal hyo hyo inasimamia suala la ajira afu bado inashindwa kuweka balanced grounds btn education levels VS elimu inayohtajika kwny ajira zao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nawasisitiza kila siku wadogo zangu kwamba digrii sio kigezo cha ajira , kwanini hamnielewi elimu ya degree nikukufanya upanuke kiupeo ili uweze kufanya mambo mengine , mfano biashara etc etc. kuajiriwa ni utumwa believe me , unakuwa na mawazo mgando as if bila kuajiriwa huwezi kutoboa kumbe WRONG.
 
Hili ni gap kubwa la curriculum yetu na namna elimu yetu inavyotolewa. Elimu na curiculum haviandaliwi kulingana na mahitaji na setting na mipango ya nchi. Elimu inatakiwa isaidie msomi kuweza kufill gaps kwenye mahitaji ya nguvu kazi ya nchi kwa maendeleo ya jamii na nchi. Kwa mwendo huu itafika mahali tuseme hakuna haja ya kusoma sasa, ingawa kusoma si kuajiliwa lakini je elimu hiyo hiyo imetuandaa kujiajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…