Wasomi wa kiwango cha PHD Tanzania.

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
5,606
Reaction score
7,032
Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu je, tuna wasomi wangapi wenye ngazi ya udaktari wa falsafa (PHD) nchini Tanzania? Vipi kuhusu idadi ya Maprofesa wako wangapi? Orodha hiyo ijumuishe hata wale wanaofanya kazi nje ya nchi.

Natanguliza shukrani.
 
nzuri hiii...!
only kwa wajuzi wa mambo.
 
Ok,mpaka kufikia mwaka 2004 watu wenye PhD tulikuwa around 25615.Kwa sasa sijajua tupo wangapi lakini kuna kikao tunakianda ambapo tutakutana wote mjini dar es salaam then nitakupa idadi kamili.
 
Ok,mpaka kufikia mwaka 2004 watu wenye PhD tulikuwa around 25615.Kwa sasa sijajua tupo wangapi lakini kuna kikao tunakianda ambapo tutakutana wote mjini dar es salaam then nitakupa idadi kamili.
May be,taarifa hii maegemezi yake ni yepi mkuu???!!!
 
Najua wizara ya kilimo tu ina phd zaidi ya elfu. chezea tz we!!

Hapo sasa me nakumbuka mshua wangu alikuwa hapo na alikuwa nayo tangu enzi hizo hata UD haijaanza sasa mpk mwaka huu si zitakuwa ha elfu 5 plus watoto wake tu nao wana phd za fani hiyohiyo ya Agriculture.
 
Ok,mpaka kufikia mwaka 2004 watu wenye PhD tulikuwa around 25615.Kwa sasa sijajua tupo wangapi lakini kuna kikao tunakianda ambapo tutakutana wote mjini dar es salaam then nitakupa idadi kamili.

Asante kwa taarifa mkuu
 
Najua wizara ya kilimo tu ina phd zaidi ya elfu. chezea tz we!!

good news.ila mimi nimeishia darasa la saba mkuu,napenda kujuzwa hao maelfu ya PHD holders wamelifanyia nini taifa mpaka sasa kwa ujumla wake?,out of ettending intellectual seminars,makongamano,warsha,mikutano nk.nawasilisha mkuu.
 
Hivi na PhD ya JK ni ya ngapi vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…