PLATO_
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 116
- 230
Msomi mmoja amewahi kusema Lugha ya kiswahili inamisamiati michache hivyo inakuwa ngumu kutafsiri vitabu vya Lugha zingine.
Huu Nauita ni upumbafu kwa sababu lugha inakua na kubadilika kila wakati. Mabadiliko haya yanaweza kutokana na mambo mbalimbali kama vile maendeleo ya teknolojia, mabadiliko ya kijamii, na mwingiliano wa tamaduni tofauti. Kwa mfano, maneno mapya yanaweza kuingia kwenye lugha kutokana na uvumbuzi mpya au matukio ya kisasa, na matamshi au sarufi yanaweza kubadilika kutokana na matumizi ya kila siku.
Mi nadhani ni wakati sahihi wa kanza kutafsiri vitabu ambavyo vipo kwenye mitahala na visivyo kwenye mitahala badala ya kutuvimbia mtandaoni kwamba mnajua kiswahili sana.
Ili tuidhinishe Kiswahili kutumika kwenye shule za sekondari basi lazima tuwe na vitabu vya kutosha.
Asante nawasilisha.