Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Kumezuka tabia ya kuwabagua watu wenye degree katika utoaji wa ajira. Just imagine mtu amekomea form 4 akaenda kusoma special diploma anaajiriwa kwenda kufundisha sekondari ilihali walio na shahada kwa masomo hayo ni wengi tu mtaani. Kwenye upande wa afya mambo ni yaleyale hakuna ahueni yoyote ile asee.
Bungeni napo wabunge wanaponda wasomi wa ngazi ya degree kwa mambo yao ya kisiasa. Watendaji wa vijiji, maafisa maendeleo, wataalamu wa kilimo nk wote sifa za kuajiriwa ni certificate.
Wakuu tuchukue hatua wakizingua tuwazungue kweli. Vijana wanasiasa wanawaona hamna cha kuwafanya wambieni sasa basi.