Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Hizo special diploma ni diploma za namna gani mkuu.wengine humu tulisoma enzi za nyerere hiyo mifumo mingine hatujakutana nayo.Kumezuka tabia ya kuwabagua watu wenye degree katika utoaji wa ajira. Just imagine mtu amekomea form 4 akaenda kusoma special diploma anaajiriwa kwenda kufundisha sekondari ilihali walio na shahada kwa masomo hayo ni wengi tu mtaani. Kwenye upande wa afya mambo ni yaleyale hakuna ahueni yoyote ile asee. Bungeni napo wabunge wanaponda wasomi wa ngazi ya degree kwa mambo yao ya kisiasa. Wakuu tuchukue hatua wakizingua tuwazungue kweli.
Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo alisema hawawakopeshi wanafunzi kwa kutegemea kuwa wataajiriwa ndipo wailipe Bali wanaamini kuwa kwa kupata Elimu hiyo watajiajiri kisha kuilipa Mikopo hiyo.Una mawazo potofu Sana au vile una certificate, Sasa Kuna haja gani ya serikali kutumia mabilion ya mikopo kwa elimu ya juu then wasiwatumie ka sio wehu Nini?
7 Tanzania ni nchi tajiriKuajiri digrii mmoja sawa na kuajiri diploma wawili, cheap labours ndio hitaji la kila mwajiri duniani..pia hao diploma na certificate wanapangiwa vijijini na wanaishi tu bila tatizo na mishahara yao midogo...
Wakiwatia mimba mabinti zenu huko vijijini mnajiuliza tatizo liko wapi.Kuajiri digrii mmoja sawa na kuajiri diploma wawili, cheap labours ndio hitaji la kila mwajiri duniani..pia hao diploma na certificate wanapangiwa vijijini na wanaishi tu bila tatizo na mishahara yao midogo...
Hapa sirikali inacholenga ni kupunguza wage bill kwa sababu hao wenye elimu ndogo watalipwa mishahara midogo. Hii ni technical failure kwa upande wa serikali kujaribu kukwepa gharama ili ku compromise quality.Kumezuka tabia ya kuwabagua watu wenye degree katika utoaji wa ajira. Just imagine mtu amekomea form 4 akaenda kusoma special diploma anaajiriwa kwenda kufundisha sekondari ilihali walio na shahada kwa masomo hayo ni wengi tu mtaani. Kwenye upande wa afya mambo ni yaleyale hakuna ahueni yoyote ile asee...
Serikali yetu imekuwa ya kipumbavu sana, kwanini huo mshahara wanao walipa certificate na diploma wasiwaajiri na kuwalipa wenye degree? afu wenye certificate na diploma ndo wakae nyumbani na mitaani mpaka wakaongezee degree, badala yake degree ndo wanahangaika mitaani.Kumezuka tabia ya kuwabagua watu wenye degree katika utoaji wa ajira. Just imagine mtu amekomea form 4 akaenda kusoma special diploma anaajiriwa kwenda kufundisha sekondari ilihali walio na shahada kwa masomo hayo ni wengi tu mtaani. Kwenye upande wa afya mambo ni yaleyale hakuna ahueni yoyote ile asee.
Bungeni napo wabunge wanaponda wasomi wa ngazi ya degree kwa mambo yao ya kisiasa. Watendaji wa vijiji, maafisa maendeleo, wataalamu wa kilimo nk wote sifa za kuajiriwa ni certificate.
Wakuu tuchukue hatua wakizingua tuwazungue kweli. Vijana wanasiasa wanawaona hamna cha kuwafanya wambieni sasa basi.
Kweliserikali yetu imekuwa ya kipumbavu sana, kwanini huo mshahara wanao walipa certificate na diploma wasiwaajiri na kuwalipa wenye degree? afu wenye certificate na diploma ndo wakae nyumbani na mitaani mpaka wakaongezee degree, badala yake degree ndo wanahangaika mitaani.
Hili swala sio la kufumbia macho, serikali iamshwe iache uhuni wa kipumbavu.
Kweliserikali yetu imekuwa ya kipumbavu sana, kwanini huo mshahara wanao walipa certificate na diploma wasiwaajiri na kuwalipa wenye degree? afu wenye certificate na diploma ndo wakae nyumbani na mitaani mpaka wakaongezee degree, badala yake degree ndo wanahangaika mitaani.
Hili swala sio la kufumbia macho, serikali iamshwe iache uhuni wa kipumbavu.