Wasomi wa SUA wanalisaidia nini Taifa?

Wasomi wa SUA wanalisaidia nini Taifa?

Ni muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa Taifa hawa.

Mpaka sasa Mafuta ya kula tunaagiza Nnje ya nchi kitu ambacho kimefanya matuta yamepanda sio mchezo kile kipimo kidogo cha sh 200 kwa sasa ni 700 hadi 800, ndoo ya lita 20 kwa sasa ni 110,000 hadi 120,000

Na bado tunajivunia tuna Chuo cha wataalam kilimo na tunawasomi wa kilimo sasa hawa watu wanalisaidiaje Taifa wakati vitu muhim kama mafuta ya kula tunaagiza nnje wakati tuna Ardhi ya kutosha kulima mawese na na mimea mingine ambayo itatuletea mafuta ya kututosheleza bila kuagiza nnje

Ngano imetoka 1200 kwa sasa ni 2000, sababu tunaagiza nnje na huko nnje vita ya urusi na Ukraine ni sababu moja wapo maana inasemekana wanazalisha ngano kwa kiasi kikubwa kwa sasa hawauzi popote kwasababu ya vita na vikwazo alivyowekewa Urusi

Ukiingia mtaani chapati na vitu vingine bie ni juu sababu mafuta na ngano vimepanda kwa kasi ya ajabu,yote hayo ni kwa sababu vitu vya muhim kama hivi tunaagiza nnje hatuzalishi sisi wenyewe kwa kiwango kikubwa na kututosheleza wakati uwezo tunao

Hivi wasomi wetu wa sua kwa Ardhi tuliyonayo hatuwezi kulima ngano ikatutosha bila kuagiza nnje?, Tatizo ni nyie au ni Serikali haitoi bajeti kubwa kwenu

Sua mnalisaidia nini Taifa kama bado tunaagiza vitu muhim nnje na nyie wataalam wa kilimo mpo?
bado wanatembeza bahasha mjini,watakuja
 
Ulishawahi sikia nchi yetu pamoja na umasikini wetu tumekumbwa na baa la njaa kiasi cha kuagiza chakula nje ukiacha kipindi kile nchi imeingia vitani na Uganda?basi kama hilo halijatokea tambua wasomi hawa wamesaidia, na kama unabisha njoo na takwimu.
Hoja yangu ipo kwenye mafuta na ngano sijzungumzia baa la njaa

Mimi nimebase kwenye mafuta na ngano
 
Ulishawahi sikia nchi yetu pamoja na umasikini wetu tumekumbwa na baa la njaa kiasi cha kuagiza chakula nje ukiacha kipindi kile nchi imeingia vitani na Uganda?basi kama hilo halijatokea tambua wasomi hawa wamesaidia, na kama unabisha njoo na takwimu.
hauko serious unafuatilia mambo wewe, iv mafuta ya kula ni nini
 
Leo hii binafsi serikali ingekuwa inaweza kunikopesha walau trekta kwa dhamana ya cheti changu nakuhakikishia nipo tayari kuacha kazi ya serikali ya laki tisa maana fursa za kilimo zipo nyingi sana mtaani lakini nashindwa mtaji tu,lakini kwa serikali hii ili ukopeshwe lazima uwe na collateral za maana hususani nyumba iliyopo mjini bila boost ya mkopo ni ngumu sana kuona mchango wetu tangible maana kilimo cha kujikimu(substance farming)tunafanya lakini kilimo cha kusaidia taifa na kutoa ajira kinahitaji mkono wa serikali.
Substance? unamaanisha subsistence?
 
Na sisi tunauliza taifa lina mpango gani na wasomi wa SUA?maana limewasomesha then limeajiri asilimia kiduchu na wengine wameachwa watafute ajira kwenye soko huria. Kama serikali ingetaka kuiokomboa nchi hii na njaa ingetenga mikopo maalum kwa wasomi hawa wakishindwa ndio unaweza kuwalaumu lakini hujawahi ona mpango kama huo ukifanyika.Wasomi hawa wapo mtaani na wengine wanafanya kazi zisizohusu taaluma zao kama vile bodaboda n.k.
Nchi za kiafrika hazina habari na wasomi, na ndio maana hazioni umuhimu wa kuwekeza kwenye tafiti, wanaona hiyo pesa bora itumike kwenye mambo ya siasa tu.

wewe bajeti ya kilimo sijui ni 2% ya bajeti kuu, ni miaka mingi sana inaombwa ifikie hata 10%, wanakuja na KAULI MBIU tu!

Na hata hao wasomi wetu nao wameona bora waingie kwenye siasa tu!!
 
Nchi za kiafrika hazina habari na wasomi, na ndio maana hazioni umuhimu wa kuwekeza kwenye tafiti, wanaona hiyo pesa bora itumike kwenye mambo ya siasa tu.wewe bajeti ya kilimo sijui ni 2% ya bajeti kuu, ni miaka mingi sana inaombwa ifikie hata 10%, wanakuja na KAULI MBIU tu!
Na hata hao wasomi wetu nao wameona bora waingie kwenye siasa tu!!
I appreciate u
 
ndugu wewe toa hoja yako mbona naona kijana yuko sahihi kuuliza
Hakuna kitu hapo angekuja na hoja iliyojaa, alete takwimu za chuo chake kwanza, kimesaidia nini taifa? Bila hivyo huu utakuwa umbea tu, kwanza kuandika hajui.

Waprofesa ndiyo nini?

Garama ndiyo nini anaandika kwenye uzi wake.

Sua inafanya makubwa sana.
 
Elimu ya Tanzania kwa zaidi ya 80% haina manufaa yoyote na haiendani na matakwa wala maendeleo ya teknolojia.

Ni elimu duni yenye kulazimisha kukariri kuliko ubunifu.

Amini ukiwaachia nchi wachina miaka miwili tu kwenye sekta ya kilimo Tanzania inakuwa giant ya uzalishaji wa mazao ya kilimo.

Kiufupi sisi watanzania tuko duni kuanzia viongozi wetu, wataalamu wetu, na wananchi wenyewe.

Ni wavivu wa kufikiri, kuamua na kutenda.
Ukweli mchungu
 
Mimi ni msomi wa darasa la saba nimehitimu mwaka 1999, baada ya hapo nikaingia kwenye kilimo cha mpunga huku mlMbeya kuanzia mwaka 2003 hadi sasa nalima mpunga mimi sio msomi lakini nimelisaidia Taifa kutoagiza mchele nnje upo wa kutosha yani

Sasa nyie wasomi mtueleze elilu yenu mmeisaidia nini serikali kutoagiza mafuta ya kula na ngano nnje ya nnchi
inaonekana ww ni mzoefu huko unalima zao gani jingine
 
hauko serious unafuatilia mambo wewe, iv mafuta ya kula ni nini
Kuhusu hoja ya mafuta nieleze serikali ina mkakati gani wa kutaka tujikwamue,maana ni miaka miwili tumeingia kwenye uhaba wa mafuta lakini ulishawahi sikia serikali inasema tumetenga hekta elfu 10 tunakaribisha wasomi na wawekezaji waliotayari serikali itawawezesha, kama hujaona serikali ikichukua hatua yeyote mtoa mada anaanzaje kulaumu wasomi wa sua.
 
Hakuna kitu hapo angekuja na hoja iliyojaa, alete takwimu za chuo chake kwanza, kimesaidia nini taifa? Bila hivyo huu utakuwa umbea tu, kwanza kuandika hajui.

Waprofesa ndiyo nini?
Garama ndiyo nini anaandika kwenye uzi wake.

Sua inafanya makubwa sana.
natambua mchango wa sua katika sector ya kilimo ni mkubwa sana ,lakini kwa mtazamo wangu naona vijana wanao kwenda kusoma sua sasa hivi wanasoma tuu lakini hawana passion na kilimo wanataka viyoyozi
 
Haja yangu ni hawa wasomi wanaisaidia vipi nchi maana hawa ndio walitakiwa waishauri serikali lakini wapo bado tunaagiza vitu nnje badala ya kuzalisha wenyewe
Kuna maandiko mangapi ambayo wasomi wameshayaandika juu ya mambo mbalimbali, lakini hakuna anayewasikiliza kisingizio ni pesa!!

ila mwanasiasa std 7, akishauri anweza sikilizwa saidi kuliko prof.Mfano kilimo cha umwagiliaji tu ambacho ndio kingekuwa ufumbuzi wa matatizo mengi, ni suala la kupoteza muda, nji nzima imejaa maji ardhini?!

yaani mipango utadhania jana ndio tumetoka kupata uhuru!!
 
Ni muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa Taifa hawa.

Mpaka sasa Mafuta ya kula tunaagiza Nnje ya nchi kitu ambacho kimefanya matuta yamepanda sio mchezo kile kipimo kidogo cha sh 200 kwa sasa ni 700 hadi 800, ndoo ya lita 20 kwa sasa ni 110,000 hadi 120,000

Na bado tunajivunia tuna Chuo cha wataalam kilimo na tuna wasomi wa kilimo sasa hawa watu wanalisaidiaje Taifa wakati vitu muhim kama mafuta ya kula tunaagiza nnje wakati tuna Ardhi ya kutosha kulima mawese na na mimea mingine ambayo itatuletea mafuta ya kututosheleza bila kuagiza nnje

Ngano imetoka 1200 kwa sasa ni 2000, sababu tunaagiza nnje na huko nnje vita ya urusi na Ukraine ni sababu moja wapo maana inasemekana wanazalisha ngano kwa kiasi kikubwa kwa sasa hawauzi popote kwasababu ya vita na vikwazo alivyowekewa Urusi

Ukiingia mtaani chapati na vitu vingine bie ni juu sababu mafuta na ngano vimepanda kwa kasi ya ajabu,yote hayo ni kwa sababu vitu vya muhim kama hivi tunaagiza nnje hatuzalishi sisi wenyewe kwa kiwango kikubwa na kututosheleza wakati uwezo tunao

Hivi wasomi wetu wa sua kwa Ardhi tuliyonayo hatuwezi kulima ngano ikatutosha bila kuagiza nnje? Tatizo ni nyie au ni Serikali haitoi bajeti kubwa kwenu

Sua mnalisaidia nini Taifa kama bado tunaagiza vitu muhim nnje na nyie wataalam wa kilimo mpo?
Sisi wafugaji na wakulima SUA wametusaidia sana kwenye maboresho ya miche ya mazao, mbegu na dawa za mifugo.

swali nyie wasomi wa UDSM mmesaidia nini taifa zaidi ya kuzalisha wezi na mafisadi nchini?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu hoja ya mafuta nieleze serikali ina mkakati gani wa kutaka tujikwamue,maana ni miaka miwili tumeingia kwenye uhaba wa mafuta lakini ulishawahi sikia serikali inasema tumetenga hekta elfu 10 tunakaribisha wasomi na wawekezaji waliotayari serikali itawawezesha, kama hujaona serikali ikichukua hatua yeyote mtoa mada anaanzaje kulaumu wasomi wa sua.
great ,wangekuwa banks wanakopesha bila collateral ingekuwa afadhari sasa muhitimu anamiliki simu tuu alafu umwambie akakope bank
 
Sisi wafugaji na wakulima SUA wametusaidia sana kwenye maboresho ya miche ya mazao, mbegu na dawa za mifugo.

swali nyie wasomi wa UDSM mmesaidia nini taifa zaidi ya kuzalisha wezi na mafisadi nchini?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kulikuwa hakuna hitaji la kumjibu huyu mkuu, sababu mada yake haina mantiki kwa kukosa takwimu ya chuo chake, kuhusu kusaidia taifa.
 
Ni muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa Taifa hawa.

Mpaka sasa Mafuta ya kula tunaagiza Nnje ya nchi kitu ambacho kimefanya matuta yamepanda sio mchezo kile kipimo kidogo cha sh 200 kwa sasa ni 700 hadi 800, ndoo ya lita 20 kwa sasa ni 110,000 hadi 120,000

Na bado tunajivunia tuna Chuo cha wataalam kilimo na tuna wasomi wa kilimo sasa hawa watu wanalisaidiaje Taifa wakati vitu muhim kama mafuta ya kula tunaagiza nnje wakati tuna Ardhi ya kutosha kulima mawese na na mimea mingine ambayo itatuletea mafuta ya kututosheleza bila kuagiza nnje

Ngano imetoka 1200 kwa sasa ni 2000, sababu tunaagiza nnje na huko nnje vita ya urusi na Ukraine ni sababu moja wapo maana inasemekana wanazalisha ngano kwa kiasi kikubwa kwa sasa hawauzi popote kwasababu ya vita na vikwazo alivyowekewa Urusi

Ukiingia mtaani chapati na vitu vingine bie ni juu sababu mafuta na ngano vimepanda kwa kasi ya ajabu,yote hayo ni kwa sababu vitu vya muhim kama hivi tunaagiza nnje hatuzalishi sisi wenyewe kwa kiwango kikubwa na kututosheleza wakati uwezo tunao

Hivi wasomi wetu wa sua kwa Ardhi tuliyonayo hatuwezi kulima ngano ikatutosha bila kuagiza nnje? Tatizo ni nyie au ni Serikali haitoi bajeti kubwa kwenu

Sua mnalisaidia nini Taifa kama bado tunaagiza vitu muhim nnje na nyie wataalam wa kilimo mpo?
Dogo endelea kula ugali ws dona!! Umezimiss fujo siyo?

Ngoja waje jamaa wa digrii za Agric General, Horticulture n.k kutoka SUA kutoa mapovu ya kufulia mpaka Kigamboni [emoji3][emoji3]
 
Ni muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa Taifa hawa.

Mpaka sasa Mafuta ya kula tunaagiza Nnje ya nchi kitu ambacho kimefanya matuta yamepanda sio mchezo kile kipimo kidogo cha sh 200 kwa sasa ni 700 hadi 800, ndoo ya lita 20 kwa sasa ni 110,000 hadi 120,000

Na bado tunajivunia tuna Chuo cha wataalam kilimo na tuna wasomi wa kilimo sasa hawa watu wanalisaidiaje Taifa wakati vitu muhim kama mafuta ya kula tunaagiza nnje wakati tuna Ardhi ya kutosha kulima mawese na na mimea mingine ambayo itatuletea mafuta ya kututosheleza bila kuagiza nnje

Ngano imetoka 1200 kwa sasa ni 2000, sababu tunaagiza nnje na huko nnje vita ya urusi na Ukraine ni sababu moja wapo maana inasemekana wanazalisha ngano kwa kiasi kikubwa kwa sasa hawauzi popote kwasababu ya vita na vikwazo alivyowekewa Urusi

Ukiingia mtaani chapati na vitu vingine bie ni juu sababu mafuta na ngano vimepanda kwa kasi ya ajabu,yote hayo ni kwa sababu vitu vya muhim kama hivi tunaagiza nnje hatuzalishi sisi wenyewe kwa kiwango kikubwa na kututosheleza wakati uwezo tunao

Hivi wasomi wetu wa sua kwa Ardhi tuliyonayo hatuwezi kulima ngano ikatutosha bila kuagiza nnje? Tatizo ni nyie au ni Serikali haitoi bajeti kubwa kwenu

Sua mnalisaidia nini Taifa kama bado tunaagiza vitu muhim nnje na nyie wataalam wa kilimo mpo?
wenye sisem yao ni tatizo kubwa. wanaratibu upigaji tu
hayo mengine hayawahusu
 
Lichadi wa mavoko unanichekesha balaa msomi wa darasa la saba,nakuelewa
 
Back
Top Bottom