Yaani jamaa ndo anajiona bonge la mwanaharakati na ana akili kubwa kuliko wengine.Hahaa hicho kichwa si amepewa na kina adam mchomvu .... sasa ukisifiwa na vichaa kuwa una knowledge unapaswa kujikagua upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Siikumbuki jina mkuu ".... mimi sio shabiki sana wa manyimbo ya huyo jamaaVideo gani ya nay?
Mohammed hajui kusoma wala kuandika
Sasa hivi cristiano ndo anashika namba alishampiku huyo mwana dada..Wakazi mbishi Instagram ni moja kati ya platform nzuri ya msanii kujitangaza na kupiga hela,kwani ni moja ya platform inayokuwa kwa kasi sana ,kama hawa Kadashian family na Christian Ronaldo (CR7) wanatumia sana kutangaza bidhaa zao na wanaingiza fedha kwa kila tangazo watakalopost,hata Lebrown na wachezaji kibao wa NBA page yake huwaga anapost viatu vyao.
View attachment 1011437View attachment 1011437
Aisee .Kama huyo nicki daah "ni mtihani .. huyo wakazi nae naona anakuja kwa kasi kwenye hiyo tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
Walishampa kichwa toka zamani baada ya kusema kuwa ni msanii pekee msomi Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ulaya na bongo tofauti yake ni nini?WCB moja ya platform yao kubwa wanayoitumia kutangaza kazi zao ni instagram (baada ya kutokuwa na maelewano na baadhi ya media) na Diamond moja ya vigezo vinavyomsaidia kupata mikata mikubwa kama DSTV,COCA,PEPSI na VODA ni kuwa na ushawishi mkubwa katika mitandao ya kijamii hasa Instagram.Shishi instagram acc yake anaitumia kutangaza mgahawa wake na biashara yake ya chakula au WEWE ULIKUWA UNATAKAJE LABDA ?Tunaongelea bongo mzee
Mohammed hajui kusoma wala kuandika
Wakazi amekuwa bingwa wa kupanga misamiati ya social media labda kwa vile amesoma na kujaribu kidogo khs mambo hayo.The thing is "Nick ameonekana hana nguvu ya hoja na hayupo smart kama watu wanavyofikiria.."
Amesoma mambo ya socialogy nadhani so, ajifunze business kiasi na si lazma ukae darasani.. Wakazi kiasi flani alikuwa on point
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kusahau kwamba jamaa ame specialize kwenye Development Studies ambayo A level huitwa GS na O level huitwa Civics...hahahahaThe thing is "Nick ameonekana hana nguvu ya hoja na hayupo smart kama watu wanavyofikiria.."
Amesoma mambo ya socialogy nadhani so, ajifunze business kiasi na si lazma ukae darasani.. Wakazi kiasi flani alikuwa on point
Sent using Jamii Forums mobile app