Wasomi, wabishi, wajuaji wa kila jambo Niki wa pili na Wakazi wapambana juu ya umuhimu wa instagram kwa Wasanii na sanaa

Wasomi, wabishi, wajuaji wa kila jambo Niki wa pili na Wakazi wapambana juu ya umuhimu wa instagram kwa Wasanii na sanaa

I will stand with wakazi wanamziki wa kibongo hawajafikia level ya kulipwa pesa mingi through insta kwanze wenyewe kama wanakunywa gongo hawajajibrand wapo wapo tuu insta za wasanii wa hapa ni outlooks to na si kingine na mwambieni nick kupata matangazo yenye mpunga mrefu wataishia kuuza mkoba na nguo na vumbi la kongo insta kwenye dunia ya tatu kibiashara ain't anything labda wauze nyago tuu

Sent from my using Tapatalk
 
Wakazi mbishi Instagram ni moja kati ya platform nzuri ya msanii kujitangaza na kupiga hela,kwani ni moja ya platform inayokuwa kwa kasi sana ,kama hawa Kadashian family na Christian Ronaldo (CR7) wanatumia sana kutangaza bidhaa zao na wanaingiza fedha kwa kila tangazo watakalopost,hata Lebrown na wachezaji kibao wa NBA page yake huwaga anapost viatu vyao.

View attachment 1011437View attachment 1011437
Sasa hivi cristiano ndo anashika namba alishampiku huyo mwana dada..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaongelea bongo mzee

Mohammed hajui kusoma wala kuandika
Kwani ulaya na bongo tofauti yake ni nini?WCB moja ya platform yao kubwa wanayoitumia kutangaza kazi zao ni instagram (baada ya kutokuwa na maelewano na baadhi ya media) na Diamond moja ya vigezo vinavyomsaidia kupata mikata mikubwa kama DSTV,COCA,PEPSI na VODA ni kuwa na ushawishi mkubwa katika mitandao ya kijamii hasa Instagram.Shishi instagram acc yake anaitumia kutangaza mgahawa wake na biashara yake ya chakula au WEWE ULIKUWA UNATAKAJE LABDA ?
 
The thing is "Nick ameonekana hana nguvu ya hoja na hayupo smart kama watu wanavyofikiria.."

Amesoma mambo ya socialogy nadhani so, ajifunze business kiasi na si lazma ukae darasani.. Wakazi kiasi flani alikuwa on point

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakazi amekuwa bingwa wa kupanga misamiati ya social media labda kwa vile amesoma na kujaribu kidogo khs mambo hayo.

Lakini kiuhalisia Nick ameongea ukweli wa hiyo biashara. Huyo Wakazi hayupo sahihi. Kuna wabongo wanatengeneza pesa nyingi kupitia Instagram wala tusiende mbali kwa akina Lebron James, au Christiano Ronaldo.

Huyo wakazi ni kama alitaka tu ku-mchalkenge Nick publically aonekane mjuaji flani.

Kwanza kwa Bongo huyo Influencer hatengenezi pesa saana kama yule mwenye tangazo au Advertising agency/agent. Hasa mtu mwenyewe akiwa sio Star kama Diamond. Wakazi hajulikani hivyo kama yeye hakupata pesa hivyo asiseme wote hawapati. Kiukweli ukipiga kura kwa rika zote kutafuta Nani anamjua Diamond, Nick na Wakazi utaona Mond ataongoza kwa mbali kisha Nick. Wakazi atapata kura chini ya 10%. Hivyo yeye hawezi kujiwekea mfano kama Benchmark ya mafanikio ya Instagram.

Msanii anaweza kutengeza pesa nyingi sana sio lazima iwe kupitia active links directly. Kazi zake ni kama zinapata promo ya maana na akiuza bidhaa yenye nembo yake inauzika sana kwa kasi sababu public awareness ya bidhaa husika inakuwa kubwa sana. Some kind of endorsement flani amazing.

Hizo restrictions alizogusia Wakazi sio kikwazo sana kwa professional social media advertising agency. Labda azitaje ni zipi na zinakwamisha nini maana hapo kasema tu zipo kibao hajafafanua kitu. Yeye ndio ame-generelize mambo sio Nick.
 
The thing is "Nick ameonekana hana nguvu ya hoja na hayupo smart kama watu wanavyofikiria.."

Amesoma mambo ya socialogy nadhani so, ajifunze business kiasi na si lazma ukae darasani.. Wakazi kiasi flani alikuwa on point

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kusahau kwamba jamaa ame specialize kwenye Development Studies ambayo A level huitwa GS na O level huitwa Civics...hahahaha
 
Back
Top Bottom