jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Inasikitisha kuona wasomi waliopo bungeni kukaa kimya na badala yake wanao-trend ni walioishia darasa la saba.
Tukikubali kuzoea na kuaminishwa na huu utaratibu wa wanaojiita darasa la saba kujionesha kuwa ndio wenye points za kutetea jamii basi ni wazi taifa letu litapoteza muelekeo.
Wabunge wa darasa la saba hawakatazwi kutoa hoja na vionjo mbalimbali ambavyo vinafikirisha akili lakini isije ikawa Eti Taifa likawa linasubiri hoja zao au watu wenye hulka zao ndio wakateka mijadala ya kitaifa....hii itakuwa ni aibu na upuuzi mtupu.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!