Ishu siyo darasa ishu ni hoja acheni Mambo nadhariaMlipokuwa mnasapoti ujinga wa magufuli kuruhusu wajinga wengi kwenda bungeni hamkujua haya...?.
Imagine, mtu very arrogant kama huyu anakuwa mbunge, JPM aliharibu sana bunge
Bungeni ni ruhusa kuingia watu wote....lakini leading think tanks lazima wawe wasomi na wenye weledi.hivi sasa tunataka kugeuza wajinga wajinga wawe think tanks.Mlipokuwa mnasapoti ujinga wa magufuli kuruhusu wajinga wengi kwenda bungeni hamkujua haya...?.
Upuuzi walioushangilia 2020 ndio unawajibu saizi.Ishu siyo darasa ishu ni hoja acheni Mambo nadharia
Umechelewa ungeyasema haya 2020 ulipokuwa unashangilia wajinga kuingia Bungeni.Bungeni ni ruhusa kuingia watu wote....lakini leading think tanks lazima wawe wasomi na wenye weledi.hivi sasa tunataka kugeuza wajinga wajinga wawe think tanks.
Wape Ccm huu ushauri, wao ndio waamuzi kina nani wapewe Ubunge.Bungeni ni ruhusa kuingia watu wote....lakini leading think tanks lazima wawe wasomi na wenye weledi.hivi sasa tunataka kugeuza wajinga wajinga wawe think tanks.
Umechelewa ungeyasema haya 2020 ulipokuwa unashangilia wajinga kuingia Bungeni.
una takwimu za wasomi vs darasa la saba walioingia bungeni 2020 au unaropoka tu?Umechelewa ungeyasema haya 2020 ulipokuwa unashangilia wajinga kuingia Bungeni.
Hao unaowaona wahuni ndio think tanks zilizopo huko Ccm.nimeshatoa ushauri...una hoja nyingine?
huko upinzani walikuwepo wasomi wangapi?
Wajinga ni wengi Kama wewe kuliko werevu kama Mimi, ndio maana wewe hukujua madhara ya kushangilia upuuzi wa 2020 Ila mimi niligundua huo upuuzi.una takwimu za wasomi vs darasa la saba walioingia bungeni 2020 au unaropoka tu?
Bunge hilo hilo la majizi ya kura ndio utegemee kuna msomi anaweza kuongea chochote? Kama msomi kapata ubunge kwa kudra za yule mlevi wa madaraka, ana tofauti gani na wa darasa la saba?Inasikitisha kuona wasomi waliopo bungeni kukaa kimya na badala yake wanao-trend ni walioishia darasa la saba.
Tukikubali kuzoea na kuaminishwa na huu utaratibu...
Phd ya afu tatu ndio achangie ya maana..Imagine, mtu very arrogant kama huyu anakuwa mbunge, JPM aliharibu sana bunge