Wasomi waliopo bungeni toeni hoja tuondokane na hoja za wahuni na wasema ovyo

Mlipokuwa mnasapoti ujinga wa magufuli kuruhusu wajinga wengi kwenda bungeni hamkujua haya...?.
Jomba unatukana waheshimiwa wabunge waziwaz hivi....Mods ban takataka hii forever....hili jukwaa la heshima sana
 
Tatizo hii nchi yetu wasomi ndiyo waoga, hawajiamini, wapenda maslahi binafsi
 
Mlipokuwa mnasapoti ujinga wa magufuli kuruhusu wajinga wengi kwenda bungeni hamkujua haya...?.
Wewe ni mpumbavu tu. Bungeni tunao wasomi wengi tu, hao ndio tunataka wajitokeze.

Wewe mchepuko kutoka Kijiji vha Rondo mbona huna akili?
 
... achene hizo, ... darasa la saba la mtu anayejishughulisha na kupata exposure ya jinsi Dunia inavyokwenda ana elimu Zaidi ya wasomi wengi (wanaosomea fani moja wasiyoitendea haki)!
 
Hoja imetolewa na Jingalao, kuna haja ya kuijadili kweli?
 
Kuna Bunge mule?Ile ni Party Caucus ya CCM sema hawajaamua kuvaa mashati Yao ya mbogamboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…