johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Msomi ni mtu aliyesoma vitabu vingi ili kujiongezea maarifaMsomi ni mtu aliyepata elimu ya juu, ambaye amebobea au ana ujuzi mkubwa katika fani fulani.
Kwa maneno mengine, msomi ni mtu anayejulikana kwa kusoma sana, kuchambua mambo kwa kina, na mara nyingi huchukuliwa kuwa na maarifa ya kitaalamu au taaluma maalum.
Mambo muhimu yanayomtambulisha msomi:
Amehitimu ngazi za juu za masomo (mfano: chuo kikuu).
Ana uelewa mpana na wa kina katika eneo fulani la maarifa.
Hutumia ujuzi wake kuchunguza, kufundisha, au kutatua matatizo.
Huandika au kutoa mawazo yanayoleta mchango wa kiakili katika jamii.
Hii ni AI ndio imeleta hilo jibu😅😅
Iwapo ni wale wasomi walio ndani ya ccm hao ni janga kwa taifa,letu hilo liko wazi na ingekuwa bora hata kutokusoma kabisa tukajua wapo vilaza wanaolitumikia taifa.Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
Good question kwa elimu ipi hiyo unazungumzia au hii ya kufaulu papersMsomi ni nini?
Nchi isiyo na watafiti 😂😂😂Good question kwa elimu ipi hiyo unazungumzia au hii ya kufaulu papers
Wasomi wenyewe ni hawa wanaotoka Chuo Kikuu Cha Dar (UDSM) wanaoamini kuwa uchumi wa Tanzania ni mkubwa zaidi ya Marekani?Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
Jamii forums unayoingia na kuongea huo ubwege wako ni wasomi wametengeneza walioko Tanzania sio wa huko Canada unakojificha chumba cha machangudoa wa kikanadaWasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
Nilitaka kumwambia kitu kama hiki,kuchukua fomu ni kitu kingine na kuchaguliwa ni kitu kingine.Hata uwe umesoma vipi kama huna hela huwezi kupata hata udiwani achilia mbali ubunge. Unahitaji angalau milioni 500+ ili uweze kugombea na hao unaowaita hopeless akina Musukuma na Babu Tale kinachowabeba ni pesa na umaarufu.
Rudi kutoka huko Canada na usomi wako kama huna hela hata kura moja ya wajumbe hupati!
By the way, wasomi ndiyo wanalaumiwa kwa kuliangamiza taifa hili. Na mara nyingi imeonekana kuwa darasa la 7 wanaweza kuwa bora kuliko maprofesa na Ph.D holders (mf. Kishimba). Hapa usomi hautakiwi bali uwezo wako wa kuwa mnafiki, kufisadika na kusifia!
View attachment 3386560
View attachment 3386564
Basi huna uhalali wa kuongelea mambo ya Tanzania. Jikite kwa waume zako wakanada.Mimi ni MCANADA. SIO TENA RAÏA WA HUKO. NILISHAUKANA URAI. MKIANZISHA DOUBLE CITIZENSHIP NITAJIUNGA NA NYIE
Ahaaa. Sawa kumbe mgeni mwenyeji.NINA URAIA WA CANADA, KIASILI NI MTANZANIA WA KILIMANJARO WALIPO WAZAZ WANGU WOTE
CURRENTLY MIMI NA FAMILIA YANGU YA MTOTO 1 TU NI RAÏA WA WACANADA
Wasomi wapi hao mkuu?Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
Ubunge unauzwa! Wasomi hawana hela! Tunahitaji reforms kubwa kumfanya kila mtz mwenye sifa agombeeWasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
🤣wasomi kazi yao ni English nyingi lolUbunge unauzwa! Wasomi hawana hela! Tunahitaji reforms kubwa kumfanya kila mtz mwenye sifa agombee
Kweli kabisa...Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
Hao wasomi unaowazungumzia ni wale wa Ccm?Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.

Canada. Dr wewe ishi tu huko.chama tawala hakitaki wasomi ktk serikali yake na bungeni nidio mana kuna wasomi wengi tu lakini hawateuliwi watasumbua . Mfano professor wa hesabu anakuwa na kigugumizi kuunga mkono hoja kwa asilimia 250 sababu asilimia mwisho ni 100