Niwie radhi mwamba nikikosa kuquote weweMkongwe wa JF tangu 2008. Heshima yako mkuu.
Nilizusha kiongozi gani kafa mkuu? Mimi huyu? Au umechanganya madesa? Unaweza kuleta ushahidi wa dai lako hapa? Kama huna ushahidi, nitake radhi aisee! ๐ก๐ก๐ก๐ฎ๐ฎ
Marehemu Horace Kolimba akiwa msomi na mtu mwenye maono mazito aliwaambia ukweli CCM kwamba dira na mwelekeo wa chama hicho vilikuwa vyapotea.Megalodon
Hoja yako ina mantiki sana lakini kuwalaumu Wasomi katika mazigira yaliyopo si sawa
Tunamkumbika Dr Lamwai (RIP) alikuwa diwani wa Manzese kabla ya kuwa Mbunge.
Ule ulikuwa mwanzo wa Wasomi kuchukua hatamu za madaraka, na tuliona mwamko
Vyama vingi vikianza ushindani uliletwa na Wasomi ndani ya Bunge ,CCM ikalazimika kuchagua Wasomi ili wakabilane na hoja nzito.
Tangu chaguzi zimevurugwa idadi ya Wasomi imepungua. CCM hawana upinzani wala sababu ya kuepeleka wasomi. Muhimu ni idadi ya watakaosema ndiyooo! siyo kujenga hoja.
Wasomi wachache ndani ya Bunge wanapigwa vita kama akina Mpina! Hawahitajiki.
Ili Wasomi wawe na msisimko na ili tuwe na Bunge la Wasomi maboresho ya mifumo ya uchaguzi hayana mjadala. Ndio maana hoja ya NRNE ina mantiki sana.
Kwamba tuwe na mfumo utakao favor '' big brain'', siyo huu kuengua na kupachika madubwana
Hoja ya pili, VITI MAALUM futilia mbali.
Bila kubadili mifumo ya uchaguzi, Wasomi hawana sababu, tusiwalaumu
JokaKuu
Kwani Tanzania kuna wasomi basi?Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friendโฆ. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasaโฆ. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URTโฆ. na mnaona tofauti ni kubwaโฆ.. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiiiโฆโฆ.. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likesโฆ ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenuโฆ. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
Sina njaaSawa kwa jina lako tu
Imetosha
Sasa nenda Kachukue form MSOMI
Nimekujibu suala lako la kunivuta kuja huko Canada.Hii ndio shida inapoqnzia
Unaamini anaechukua fomu ana njaaa
Wacha kina hamorap wenye njaa wakaamue future yenu
๐๐๐๐Sawa kwa jina lako tu
Imetosha
Sasa nenda Kachukue form MSOMI
Umesoma wpNikimuonaga Kitila now Kafulila na Kabudi Elimu ya Tanzania ni kama ilishakufa kitambo
Mkongwe wa JF tangu 2008. Heshima yako mkuu.
Nilizusha kiongozi gani kafa mkuu? Mimi huyu? Au umechanganya madesa? Unaweza kuleta ushahidi wa dai lako hapa? Kama huna ushahidi, nitake radhi aisee! ๐ก๐ก๐ก๐ฎ๐ฎ
Sina ulazima wa kukwambia nimesoma wapi kwa ufupi wasomi wa nchi hii hawana utofauti na doto muuza magari ndo maana Msukuma uwa anawadharau sana wasomiUmesoma wp