Wasomi wavizia teizu,bila kujali wanafanya uchafu gani ama wanalichafuaje taifa wanawezaje kuchangia ujenzi wa taifa zaidi ya ujenzi wa tumbo zao na jamii yao inayo wategemea?Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
Jibu zuri sana kutoka kwa GeminiHata uwe umesoma vipi kama huna hela huwezi kupata hata udiwani achilia mbali ubunge. Unahitaji angalau milioni 500+ ili uweze kugombea na hao unaowaita hopeless akina Musukuma na Babu Tale kinachowabeba ni pesa na umaarufu. Na wamewekeza wekeza huko majimboni. Kadogosa, kwa mfano, ndiye amekuwa akifadhili mbina ya Bagika na Bagalū kule Simiyu kila tarehe 30 Mei ya kila mwaka. Milioni 20+. Anajulikana. Sasa wewe kurupuka na uprofesa wako eti unakwenda kugombea. Ukipona kuchukuliwa mazima kwenda kufichwa Gamboshi shukuru Mungu 😂
Rudi kutoka huko Canada na usomi wako kama huna hela na exposure kwa wapiga kura wako hata kura moja ya wajumbe hupati!
By the way, wasomi ndiyo wanalaumiwa kwa kuliangamiza taifa hili. Na mara nyingi imeonekana kuwa darasa la 7 wanaweza kuwa bora kuliko maprofesa na Ph.D holders (mf. Kishimba). Hapa usomi hautakiwi bali uwezo wako wa kuwa mnafiki, kufisadika na kusifia!
View attachment 3386560
View attachment 3386564
Asante mkuu kwa uungwana wako. Nina matani mengi hapa JF na 99.99% ya mambo ambayo huwa naandika hapa ni porojo lakini najua mipaka yangu na sijawahi kuvuka nje ya mipaka hiyo hadi kuvunja sheria za nchi wala kumvunjia mtu heshima - hata nichokozwe vipi! I am emotionally mature and responsible. Asante mkuu 🙏🏿
Njaa inakusumbua sana babuAsante mkuu kwa uungwana wako. Nina matani mengi jukwaani hapa na 99.99% ya mambo ambayo huwa naandika hapa ni porojo lakini najua mipaka yangu na sijawahi kuvuka nje ya mipaka hiyo hadi kuvunja sheria za nchi wala kumvunjia mtu heshima. I am emotionally mature and responsible. Asante mkuu 🙏🏿
ChatGPT ina nondo hatari. Asante mkuu.Jibu zuri sana kutoka kwa Gemini
Kuwa na viongozi wa nchi wenye elimu ya juu kuna umuhimu mkubwa na faida nyingi ikilinganishwa na wale wenye elimu ya chini. Hii haimaanishi kwamba elimu ya chini inamfanya mtu asiwe kiongozi mzuri, lakini elimu ya juu mara nyingi huongeza uwezo na upeo wa kiongozi.
Hizi hapa baadhi ya sababu zinazosisitiza umuhimu wa kuwa na viongozi wenye elimu ya juu:
1. Uwezo wa Kufanya Maamuzi Sahihi na Changamani
* Kuchambua Taarifa: Viongozi wenye elimu ya juu mara nyingi wana uwezo mkubwa wa kuchambua taarifa tata, kutathmini vyanzo mbalimbali, na kutofautisha kati ya ukweli na propaganda. Hii ni muhimu sana katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi za kiuchumi, kisiasa, na kijamii.
* Kutatua Matatizo: Elimu ya juu huwajengea watu uwezo wa kufikiria kwa kina (critical thinking), jambo ambalo huwasaidia kutambua vyanzo vya matatizo na kutafuta suluhisho za kudumu badala ya "patchwork" solutions.
* Kutunga Sera Zenye Ubora: Viongozi walioelimika vizuri wanaweza kuunda sera zenye msingi imara, zinazozingatia utafiti na ushahidi, na ambazo zina uwezo wa kuleta mabadiliko chanya ya kweli kwa wananchi.
2. Uelewa wa Masuala ya Kimataifa na Diplomasia
* Uhusiano wa Kimataifa: Kiongozi mwenye elimu ya juu ana uwezo mzuri wa kuelewa masuala tata ya kimataifa, mikataba ya kimataifa, na mahusiano na nchi nyingine. Hii huwezesha nchi kushiriki kikamilifu katika diplomasia na kujenga ushirikiano wenye manufaa.
* Kushughulikia Changamoto za Kidunia: Mabadiliko ya tabianchi, magonjwa ya milipuko, na migogoro ya kimataifa yanahitaji viongozi wenye uelewa mpana na uwezo wa kufanya kazi na mataifa mengine ili kupata suluhisho.
3. Ubunifu na Maendeleo
* Kuhamasisha Utafiti na Ubunifu: Viongozi wenye elimu ya juu wanatambua umuhimu wa sayansi, teknolojia, na ubunifu katika kuleta maendeleo. Wanaweza kuwekeza katika sekta hizi na kuhamasisha utafiti utakaosaidia kutatua matatizo ya nchi na kuongeza ushindani wa kiuchumi.
* Kuendana na Mabadiliko: Dunia inabadilika kwa kasi, na viongozi wenye elimu ya juu wana uwezo wa kujifunza haraka na kurekebisha mikakati na sera ili kuendana na mabadiliko hayo.
4. Uongozi Wenye Maadili na Uwajibikaji
* Kujiamini na Uadilifu: Ingawa elimu pekee haihakikishi maadili mema, elimu ya juu inaweza kujenga kujiamini na kuwafanya viongozi waweze kusimamia misimamo yao bila kuathiriwa kirahisi na shinikizo zisizo za haki. Pia, wanakuwa na uelewa mpana wa kanuni za utawala bora.
* Usimamizi wa Rasilimali: Ujuzi wa usimamizi, uchumi, na fedha unaopatikana kupitia elimu ya juu unawasaidia viongozi kusimamia rasilimali za nchi kwa ufanisi na uwajibikaji, na hivyo kupunguza rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma.
5. Kuwa Kielelezo kwa Jamii
* Kuhamasisha Elimu: Viongozi wenye elimu ya juu wanakuwa kielelezo chema kwa wananchi wao, hasa vijana, na kuwahimiza kuthamini elimu na kujitahidi kupata maarifa. Hii inachangia kujenga jamii iliyoelimika na yenye maendeleo.
* Kujenga Imani: Wananchi mara nyingi huamini na kuwaheshimu viongozi wenye elimu na uwezo, jambo linaloweza kuimarisha utulivu na umoja wa kitaifa.
Ni muhimu kukumbuka kuwa uzoefu, busara, uadilifu, na uwezo wa kuwasiliana na wananchi ni sifa muhimu pia kwa kiongozi yeyote, bila kujali kiwango chake cha elimu. Hata hivyo, elimu ya juu inaongeza uwezo wa kiongozi katika maeneo mengi muhimu kwa ufanisi wa utawala wa nchi.
Mama yetu yuko vizuri sana kwa kweli. Ni wazi ni mvumilivu na ana busara ya ajabu. Yaani akiongea ni nondo na facts tu kwa kwenda mbele. Inaonekana ni mtu anayependa kujisomea sana!😂😂😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Bora RAIS WETU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN RAIS YA AWAMU YA SITA , wetu anaonekana anabusara akiongea na maneno yake yanajulisha anadiploma sio nyie mnakream maisha .
We umechukua fomu? Au si mtanzania?Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
Sasa pilipili usisozila zakuwashia nini? We siyo raia umeshau nini huku? Kagombee huko Canada, we si ulishaikana nchi yako ya asili? Nini kilikufanya uikane km siyo njaa. Wachaga wanafahamika hawajawahi kuwa wazalendo ni mchwa flani wanaendekeza njaa. Umeolewa huko tulia na mwenza wako tuachie nchi yetu we umeshaikana tayariNINA URAIA WA CANADA, KIASILI NI MTANZANIA WA KILIMANJARO WALIPO WAZAZ WANGU WOTE
CURRENTLY MIMI NA FAMILIA YANGU YA MTOTO 1 TU NI RAÏA WA WACANADA
Haya ni makasiriko. Kati ya maslahi ya maisha na nchi… nitachagua Maslahi ya Maisha. Unless kama nchi ipo kwenye uadilifuSasa pilipili usisozila zakuwashia nini? We siyo raia umeshau nini huku? Kagombee huko Canada, we si ulishaikana nchi yako ya asili? Nini kilikufanya uikane km siyo njaa. Wachaga wanafahamika hawajawahi kuwa wazalendo ni mchwa flani wanaendekeza njaa. Umeolewa huko tulia na mwenza wako tuachie nchi yetu we umeshaikana tayari
Akili zetu wabongo ni fupi na zinasahau haraka sana. Kuna watu wenye sifa za uongozi wengi lakini kila wakijua kuwa ili uchaguliwe na CCM ni lazima ujitoe akili, wanasita.Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
Uko sahihi ,yaani msomi aache kufanya mambo ya maana akajadili kero ple bungeni hapo akili italala ...Siasa mwisho wa siku zinakuletea aibu na dharau.Wasomi wanaojielewa ni wale wanaoamgalia mifumo na kuona kwamba kujiunga na siasa kwa sasa ni kupoteza mda!
Ni msomi Mpumbavu asiye na maono anayeweza kupoteza mda kuchukua form wakati Lisu yupo ndani Kwa sababu za hovyo.
Kama Lisu na usomi, moyo wake na uungwana wake anatendewa hivyo, ni msomi gani ataacha pigani no reform no election akachukue form?
Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
Kwa hiyo watu waache utendaji wakashiriki kwenye porojo ,unaelewa maana ya mtumishi kushiriki kwenye siasa ..Basi huko kazini watu watakuwa hawaelewani kabisa kwa mitazamo ya kisiasa .Mkuu Kuna Sheria kipindi cha jk ilipitishwa ili kuzuia waajiriwa wa serikali ambao ni wasomi , wasishiriki kwenye siasa , kwamba watumishi wasichanganye kazi na siasa, kumbe ile ilikuwa ni mtego wa kuwazuia wasomi wasishiriki kwenye siasa.
Ili ushiriki kwenye siasa inakubidi uache KAZI serikalini , ni mtumishi gani anaweza fanya hivyo.
TUbadili Sheria inamnyima mtumishi wa serikalini asishiriki kwenye siasa, wakati ni haki yake kama mtanzania
Bunge Lina wasomi wengi tu, Prof Mkenda, Kimei, Prof Kabudi,Dr Tulia,wapo, wasomi wazuri tu, shida njaa Kali, kila mmoja na rwake,Wasomi ni chanzo cha taifa la Tanzania kuwa jinsi lilivo kwa sasa kama lilivo.
Kipindi Kama hiki ndio kipindi wasomi wanapaswa kuwa mbele kwenye kuchukua fomu za ubunge na uongozi, badala yake utaona fomu zinachukuliwa na mbululazi na hopeless generation.
Utamsikia msomi anasema mimi sitaki siasa, my friend…. Siasa ndio inaamua mustakabali wa nchi, future ya maisha yako na kizazi chako, kwa kuwa wewe hupendi siasa…. Ngoja future yako , salary yako na future ya watoto zako ikaamuliwe na kina babu tale na kina mwijaku , kina salma kikwete bungeni.
Msichukulie poa hizi nafasi, hata Samia mzaha mzaha alitokea chini, leo ndio president wa URT…. na mnaona tofauti ni kubwa….. hi yote ni kwasababu wasomi watanzania mmekataa kukaa maeneo yenu, mnabaki kuwa inspiration writters kwenye social media na kingereza kingiiiii…….. but you are another hopeless generation kwenye taifa.
Imagine Babu tale, Msukuma , Salma and the likes… ndio wanawatungia nyie mustakabal wa taifa lenu…. What a hopeless life
Wasomi KACHUKUENI FOMU MKAE MAENEO YENU.
PERIOD
Dr Megalodon Mushi
Canada
NI haki ya kila MTU kushiriki kwenye siasa, hichi 👆 unachozungumza wewe hakimaanishi uwanyime wengine haki ya kushiriki siasa, siasa ni kuvumiliana kwa hoja pasi kuvunja Sheria.Kwa hiyo watu waache utendaji wakashiriki kwenye porojo ,unaelewa maana ya mtumishi kushiriki kwenye siasa ..Basi huko kazini watu watakuwa hawaelewani kabisa kwa mitazamo ya kisiasa .
Mimi nakumbuka shule watu walipigana kabisa na tulikuwa wanafunzi kisa mambo ya siasa..Tena vurugu mpaka wamekuja polisi.