the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Wakuu, wasomi wanaomsifia mama naona wameumia bhana kuitwa chawa wanasema wao wana akili zao timamu na hawafanyi kwa mihemko.
Katibu wa vijana na uhamasishaji wa taasisi ya Samia for Us, Gerald Mandago ambaye pia ni Msomi wa chuo kikuu akiambatana na wanafunzi wa vyuo mbalimbali amesema wamejipanga kuanzisha kampeni ya kumsemea Rais Samia huku akionesha kuchukizwa na jina la kuitwa "Machawa"
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025