the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Siku zote uwa nashangaa sana hivi vitaasisi vinavyoibuka Kila Leo na kujipachika vimajina vya Kila namna kwamba vinamsemea Rais,,Wakuu vijana wanaomsifia mama naona wameumia bhana kuitwa chawa wanasema wao wana akili zao timamu na hawafanyi kwa mihemko.
View attachment 3221053
Katibu wa vijana na uhamasishaji wa taasisi ya Samia for Us, Gerald Mandago ambaye pia ni Msomi wa chuo kikuu akiambatana na wanafunzi wa vyuo mbalimbali amesema wamejipanga kuanzisha kampeni ya kumsemea Rais Samia huku akionesha kuchukizwa na jina la kuitwa "Machawa"
Hawa jamaa wanavaa kofia wote kabla ya kuongea na Waandishi wa habari ili mradi kuficha Ujinga wao.Wakuu, wasomi wanaomsifia mama naona wameumia bhana kuitwa chawa wanasema wao wana akili zao timamu na hawafanyi kwa mihemko.
View attachment 3221053
Katibu wa vijana na uhamasishaji wa taasisi ya Samia for Us, Gerald Mandago ambaye pia ni Msomi wa chuo kikuu akiambatana na wanafunzi wa vyuo mbalimbali amesema wamejipanga kuanzisha kampeni ya kumsemea Rais Samia huku akionesha kuchukizwa na jina la kuitwa "Machawa"
Chawa kwenye ubora wakeWakuu, wasomi wanaomsifia mama naona wameumia bhana kuitwa chawa wanasema wao wana akili zao timamu na hawafanyi kwa mihemko.
View attachment 3221053
Katibu wa vijana na uhamasishaji wa taasisi ya Samia for Us, Gerald Mandago ambaye pia ni Msomi wa chuo kikuu akiambatana na wanafunzi wa vyuo mbalimbali amesema wamejipanga kuanzisha kampeni ya kumsemea Rais Samia huku akionesha kuchukizwa na jina la kuitwa "Machawa"
Duniani kote, wasomi hujipambanua kwa ujasiri wao wa kuanika na kupaza sauti dhidi ya udhalimu wa watawala. Hawa watoto sio wasomi. Sijui nani kawadanganya kwamba nao ni wasomi. Ni machawa watoto!Wakuu, wasomi wanaomsifia mama naona wameumia bhana kuitwa chawa wanasema wao wana akili zao timamu na hawafanyi kwa mihemko.