Wasomi wawili

Wasomi wawili

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
Wasomi wawili mmoja wa Uhasibu na mwingine wa IT walikuwa wanatambiana hivi

Msomi wa Uhasibu akaanza kujidai hivi mimi nimesoma hadi nimepata CPA

Msomi wa IT naye akajidai hivi na mimi nimesoma hadi nimepata CPU na sasa nachukua USB

Msomi wa Uhasibu akamwambia kweli wewe kiboko sikuwezi
 
huyo Msomi wa IT anafix kama za Mukulu wa Nchi...tehe tehe tehe laptop kwa kila ticha
 
huyo wa IT nafikiri atakuwa ameingiwa na Virus inabidi akafanye scanning
 
nyumba nyingine bwana...nyumba nyingine bwana...nyumba nyingine bwana!...lol!
 
mtu ana CPA hajui CPU na USB! huyu mhasibu noma
 
Back
Top Bottom